silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  2. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

    Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali. Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  5. JamiiForums Tanzania Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Amshambulia ofisa wa polisi ubalozi wa marekani na kutaka kupora silaha

    Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini alishindwa na wakamdhibiti bila madhara yoyote makubwa kuripotiwa. == Tarehe: 15 Mei, 2025 Mahali...
  7. JamiiForums Tanzania Tour Guide wa Kisasa: Maarifa Yako Ndiyo Silaha Yako"

    Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine. Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...
  8. JamiiForums Tanzania Silaha 3 Zifuatazo Zitakusaidia Kutoboza Maishani (Ya Mwisho ni Muhimu Kweli)

    Habari mwanaJF, Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu January, lakini maghala yangu yanafurika sasa. Mungu ni mwaminifu! Leo unapowaangalia watu...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  10. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  11. JamiiForums Tanzania Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je ni ruhusa kubeba silaha ?

    Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ? Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama...
  13. JamiiForums Tanzania Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lebanon: Hezbollah wekeni silaha zenu chini au muondoke Lebanon

    Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon: "Tunasisitiza kwamba Hezbollah lazima ikabidhi silaha zake ndani ya miezi sita. Tunataka kujenga dola. Ikiwa hawataki kukabidhi...
  15. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Mpiganaji wa Hamas afariki na mwingine akamatwa baada ya kuviziwa wakisafirisha silaha

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea kutekeleza shambulio kubwa la kigaidi. Bunduki tatu za M-16 zilipatikana kwenye gari lake. Magaidi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ghala kubwa la silaha kuliko lote huko Russia 🇷🇺 lalipuliwa

    Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze. Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini...
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  19. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…