silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuipatia silaha Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine. Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa inasimamisha usambazaji kwa Ukraine, na msemaji wa White House alielezea Jumatatu kwa nini ilifanya hivyo. "Tutawatumia silaha zaidi. Tunahitaji kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

    Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon Mkuu wa Hezbullah...
  5. JamiiForums Tanzania War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

    Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

    Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau. Habari kamili: Katika mkutano na...
  10. JamiiForums Tanzania Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia. Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo. Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa. Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia. Iran haijatenda kosa...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani kutumia silaha ya nyuklia kuipiga Iran kwa hasira ya kushindwa ni aibu na balaa kubwa kwa dunia

    Tetesi zinazoelekea kuwa ushahidi kuwa Marekani haijafanikiwa kuleta madhara makubwa yaliyokusudiwa kwa vinu vya nyuklia vya Iran,kunaweza kukaitia hasira sana nchi hiyo na kuamua kuipiga Iran kwa nyuklia ili tu ionekane haijashindwa. Chini ya raisi Trump ambaye akili zake haziko sawa uamuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

    Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo? NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
  14. JamiiForums Tanzania Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

    Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu. Takwimu zilionyesha kuwa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Mke na mume wakutwa wamefariki chumbani kwao Bunyokwa, Polisi yasema inachunguza tukio hilo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba yao iliyopo Mtaa wa Bonyokwa Kata ya Bonyokwa, wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam. Kamanda wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

    Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
  17. JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

    Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi. Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  19. JamiiForums Tanzania Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

    Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo...
  20. JamiiForums Tanzania Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…