silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Putin katika harakati ya kuunda silaha inayoweza kusafiri umbali wa kilomita 3.2 kwa sekunde

    Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  6. JamiiForums Tanzania Ngono kama silaha

    Ngono kama Silaha Katika maisha ya kila siku, ngono imekuwa si tu njia ya kuonyesha mapenzi, bali pia chombo chenye nguvu cha ushawishi na udhibiti katika mahusiano. Tendo hili linaunganisha watu kihisia na kimwili, lakini linapoweza kutumiwa vibaya, linaweza kugeuka kuwa silaha inayoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Albert Chimbindi: Umoja na mshikamano ni silaha ya mtangamano imara wa SADC

    Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Maafisa Waandamizi wa SADC...
  9. JamiiForums Tanzania NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine

    Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku ya Jumanne (Agosti 5) kwamba itachangia dola...
  10. JamiiForums Tanzania Licha ya kumtishia uhai bado yupo na ujasiri na kujiamini na kuwatisha wanao mtisha Je wa mjua ni shujaa Gani anaeogopwa na wenye kumiliki silaha

    Ndugu zangu watanzania, Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini hakuna biashara ya silaha za nuclear duniani kati ya nchi?

    Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  13. JamiiForums Tanzania Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
  14. JamiiForums Tanzania Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

    Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
  16. JamiiForums Tanzania Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  17. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  18. JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  19. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…