silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ebu tazama huu ulinganishi wa silaha na budget ya kivita kati ya US na IRAN alafu kuna mtu anaandika humu kuwa US amekimbia baada ya kutishwa na Iran

    ✈️ Total Military Aircraft: 🇮🇷 Iran ⟶ 600+ 🇺🇸 USA ⟶ 13,000+ 🚁 Attack Helicopters: 🇮🇷 Iran ⟶ 150+ 🇺🇸 USA ⟶ 5,400+ 💥 Missiles: 🇮🇷 Iran ⟶ 3,000+ (short & medium range) 🇺🇸 USA ⟶ 10,000+ (ICBM, cruise, precision) 🛩️ UAV / Drones: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸 USA ⟶ 11,000+ 🛡️ Tanks: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸...
  2. JamiiForums Tanzania Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  4. JamiiForums Tanzania Watu wenye silaha nzito watauawa kwa kudunguliwa

    Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa. Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
  5. JamiiForums Tanzania Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  6. JamiiForums Tanzania Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Uholela wa NGONO, POMBE NA MUZIKI: Ndilo janga kubwa zaidi la kizazi chetu"

    Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo wa Ian Durry wa mwaka 1977. "Sex, drugs, rock and roll" haukuwa wimbo au usemi tu wa wakati huo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Colombia aapa kubeba silaha tena

    Rais wa Colombia Gustavo Petro ameapa kuitetea nchi yake dhidi ya kile alichokiita vitisho kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump. Kupitia mtandao wa kijamii, Petro, ambae aliwahi kuwa mpiganaji wa msitumi, ameionya Marekani dhidi ya hatua yoyote ya ukiukaji kwa Colombia, inayofanana na ile...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  11. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaotetea huu utawala hauyumkiniki ni miongoni mwa waliobeba silaha na kuua raia Okt 29+

    Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania. Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29) Wanajua...
  15. JamiiForums Tanzania Mpango wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli

    Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani. "Niliidhinisha jumla...
  16. JamiiForums Tanzania Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  17. JamiiForums Tanzania Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  19. JamiiForums Tanzania Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Makampuni 25 yanayoongoza kutengeneza Silaha za Kivita Duniani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…