silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania China inaionya Russia kwamba isithubutu kutumia silaha za nyuklia kama wanataka waelewane.

    China inaendelea kumwonya Putin dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia au kutishia kuzitumia. Tangu vita vilipoanza, kwa ujumla China imekuwa upande wa Urusi. Katika masuala mengi. Suala moja ambapo China imeweka mstari usiovukika ni lile la matumizi, au tishio la matumizi, ya silaha za...
  2. JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye swala la ndoa nakuelekezea silaha waziri Dk Gwajima.

    Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini? Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili linasikitisha sana. Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki: Silaha kubwa wanayotumia ni Watanzania tumeshawazoea, watapiga tu kelele siku tatu, ya nne watasahau na kuendelea na maisha”

    Silaha kubwa wanayoitegemea na kuitumia watawala ni hii sentesi “Watanzania tumeshawazoea, watapiga tu kelele siku tatu, ya nne watasahau na kuendelea na maisha” Hiyo silaha wanaitumia kwenye kila uchafu wanaoufanya…….. And yes, so far ina~work ✅ Untill tutakapoamua kuwaonyesha tofauti.
  8. JamiiForums Tanzania Traffic wapewe silaha za moto au mtu mwenye silaha za moto ili kudhibiti watu waovu barabarani.

    Tufanye kama ilivyo kwenye nchi za wenzetu hakuna traffic asiye na silaha ya moto kwanza ukizingua tu chombo kinataifishwa au tail zinapasuliwa. Nashauri IGP aweke huu utaratibu kwenye Kila traffic station kuwe na watu wenye silaha za moto, hatupendezewi kuona traffic wakivamiwa na wauvu...
  9. JamiiForums Tanzania Haki Sawa: Silaha ya Shetani Dhidi ya Ndoa?

    Shetani alimtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume. Hata mzungu anamtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume wameleta Kitu kiitwacho haki sawa, mipango ni kuwapa Wanawake kiburi, kutokuolewa na walioolewa washindwe kaendelea na ndoa zao. Ila kubwa zaidi kupingana na neno la Mungu. Watu wanasema hii...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Tunawaomba wananchi wajitokeze kusalimisha silaha haramu walizonazo kwa hiari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura, amezindua kampeni ya msamaha wa usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari, 2026 jijini Dodoma, akiwahimiza wananchi kutumia fursa hiyo kusalimisha silaha walizonazo kinyume cha sheria bila hofu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, IGP...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 15 Wa Genge Wakamatwa Kisumu, Silaha Za Kijamii Zanaswa

    Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu. Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi dunia ina historia ya kuwa na Rais kichaa kama Trump? Sasa anajificha na kuzungukwa na silaha akihofia kuuliwa na muajemi halafu domokaya

    Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha... Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini. Nilidhani ni sisi tu Afrika tuna maraisi wazee wang'ang'anizi wa madaraka hata akili...
  14. JamiiForums Tanzania Wanyonge wa Iran( Waarabu ) hatimaye wapatiwa silaha za kujilinda dhidi ya Iran

    Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 5,250 ya Patriot na THAAD kwa Bahrain, Kuwait, Qatar na Falme za Kiarabu kama sehemu ya juhudi kubwa ya kujaza akiba ya ulinzi wa anga wa Ghuba. Hatua hii inafuatia matumizi makubwa ya vizuizi vya makombora ili kukabiliana na mashambulizi ya makombora...
  15. JamiiForums Tanzania Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

    Mama ka ya silaha za magaidi wa Hezbollah zimekamatwa na Majeshi hodari ya Israel ndani kabisa ya Lebanon baada ya msako makali unaoendeshwa huko na IDF!!!!! Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz wanajifanya hawaoni hii Post!!
  16. JamiiForums Tanzania Polisi wa Israel wagundua maficho ya silaha huko West-Bank!!

    Polisi wa Israeli na Polisi wa Mpakani wamegundua maficho mengi ya silaha na vilipuzi katika operesheni zilizoratibiwa kusini na katikati mwa Israeli. Kusini, maafisa wa polisi wa Israeli kutoka kituo cha Rahat, pamoja na wapiganaji wa Polisi wa Mpakani, walikamata maficho ya silaha haramu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
  18. JamiiForums Tanzania Open-Source Intelligence: Silaha ambayo Iran Haikulazimika Kuinunua

    Kwa miaka mingi Marekani imewekeza trilioni za dola kwenye satelaiti, ndege za upelelezi, drones, rada na mashirika ya kijasusi ili kupata taarifa za adui. Lakini inaonekana Iran imegundua njia rahisi zaidi na ya gharama nafuu: bando la jero na kufungua tu TikTok, X, Instagram au Facebook...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza

    Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani .Chanzo cha picha, Reuters Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo limekubali mpango wa Bodi ya Amani wa kuachana kabisa na silaha katika Ukanda wa Gaza huku akiongeza kuwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…