Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake.
Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...