sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nch imetulia sifa apewe bwana

    Habarin za usiku huu Miaka/miez ya hiv karibuni tumeshuudia mauaji ya wanawake yaliyokisiri kutoka kwa wanaume zao ila kwa sasa nch imetulia je nini kimesababisha utulivu huu ili wahusika waendelee nao aman iendelee maana kilakukicha ilikua mauaji tu kila siku
  2. JamiiForums Tanzania Jaydee anastahili heshima lakini asipewe sifa za uongo

    Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana... Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi superbug sifa zangu ni hizi

    1. Nina elimu ya Masters. 2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK. 3. Nina watoto 3. 4. Mke mzuri. 5. Mpare kwa kabila. 6. Naipenda Israel na Urusi. 7. Najua kutumia silaha za moto. 8. Najua matumizi sahihi ya R na L. 9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma. 10. Mpenzi wa simba SC...
  4. JamiiForums Tanzania Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika. Mara...
  5. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za madikteta na namna wanavyojibu maswali ya watawaliwa

    Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu maswali magumu au ya kukosoa, madikteta mara nyingi hupotosha mjadala kwa kuelekeza mazungumzo kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2025: Mwalimu Anastahili Sifa

    https://youtu.be/GR0DQyhAdHs?si=0zwCfmI-Z0MLnRNp
  8. JamiiForums Tanzania Sifa hizi ukiwanazo huimarisha mahusiano yako na jamii yako pia na Mungu

    1)UNYENYEKEVU Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako. Kuacha majivuno,kiburi na dharau. 2)KUTOHUKUMU WENGINE. unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
  9. JamiiForums Tanzania Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

    Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa. Lakini hawajuani majina halisi. Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
  11. JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  13. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

    Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana. Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga. Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Hili jina la "Mwamba" limekaa kimagumashi sana, ni sifa za kimchongo na kipuuzi

    Mimi siku zote nimekuwa nikifahamu "mwamba" ni mtu jasiri, mwenye kuweza kupambana katika hali ngumu sana na mambo ya kutisha au kugofya, sasa huwa nashangaa hata watu midebwedo kabisa wanaitwa au wanaitana mwamba. Yani yule mtu ambaye hata akisikia mbwa koko anabweka ghafla anaweza kuanguka...
  17. JamiiForums Tanzania Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

    Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi) 4.Hawezi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM 2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi 3. Ado Shaibu ACT Wazalendo 4. Ahmad...
  19. JamiiForums Tanzania Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

    Ndio hivyo kusifiwa tu kwamba fulani ana mkwanja mrefu hakuna jipya mengine yote hata wenye maisha ya wastani wanayo.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi, hata ingekuwa wewe….

    Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana. Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile. Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano. Unaweza ukajiona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…