sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sifa za Uongozi: Ujumbe wa Rais Samia

    Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako. -Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  4. JamiiForums Tanzania Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

    SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke wanayemuona mitaani huko. Pia ni kawaida pia wanawake nao wenyewe kwa wenyewe kutingishana na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sifa kubwa ni kuwa katili ili uteuliwe

    Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira, bashite, etc etc etc. Ukionekana kutumia busara akili unatupwa nje eg Simba Chawene
  6. H

    JamiiForums Tanzania MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI

    MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka uliowezesha Mamlaka hiyo kuendelea kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kila mwezi na kueleza imani...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  8. JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kupata cheo/ uteuzi ni kuwa Katili

    Hapo ndipo tulipofika. Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
  10. JamiiForums Tanzania Sifa moja wapo ya kuheshimika ni kutopatikana kila muda

    Kuna kitu kinaitwa "Scarcity Principle" (Kanuni ya Uhaba). Kitu chochote kinachopatikana kirahisi na kila muda, thamani yake huwa inashuka. Ukiwa mtu wa "ndio" kila wakati na unapatikana saa yoyote, watu wanaanza kuchukulia uwepo wako kama jambo la kawaida sana (taken for granted). Kutokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama una sifa hizi huwezi ichukia CCM, huwezi sema au taka itoke madarakani. Utakuwa na kichaa wewe

    CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu 1. Mafisaidi 2. Wezi 3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu. 4. Al munafiqina 5. Wachawi/Machawa Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
  12. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ila wakinga mna sifa sana

  15. JamiiForums Tanzania Laana ikoje wadau?Je ni kweli inaweza kuachwa na mtu? Sifa zipi zinamfanya mtu aweze kuacha laana?

    Mzee? Maskini? Kwa kosa lipi hasa? Je tajiri naye huacha laana?
  16. JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wafanyakazi wenye sifa sahihi za uzalishaji kwa vitendo ndio hakuna

    Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida. Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Najua unaweza bisha ila kuna baadhi ya jamii hapa bongo kuzalia nyumbani ni kama sifa na normality

    Kanda ya ziwa, wajita. Kanda ya kaskazini, wairaq Kanda ya kati wanyamwezi na wanyaturu Kanda ya pwani
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona mchumba wako ana sifa hizi oa na weka ndani

    Shikamoni wote humu natumai mu wazima wa afya. Kama hujaoa na una mchumba mwenye sifa hizi weka ndani 1.Mwenye heshima na adabu – Heshima ndiyo inabeba maana halisi ya wife material. Siyo yule anakudharau kwa kila unachofanya 2. Mwaminifu na mkweli – Ni mwadilifu katika mapenzi na maneno. Huwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa

    Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…