siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. T

    Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  2. F

    CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
  3. J

    Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  4. C

    Nawakumbusha viongozi wote wa ngazi za juu Serikalini na kwenye Vyama vya siasa. Urais hautafutwi bali urais ndio unakutafuta. Haki itamalaki kote

    Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote. Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
  5. CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
  6. Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu?

    Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7 MAGARI 6 aina ya BENZI NYUMBA ZA KUPANGA 100 DAlADAlA 1000 BARABARA ZA JUU (PRIVATE FLY OVER 7) Na Mengineyo Lengo ni...
  7. CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

    Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo. 1: Acheni...
  8. T

    Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

    Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
  9. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

    Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia. Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza...
  10. Katiba inaeleza haya kuhusu shughuli za siasa zinazofanywa na wana CHADEMA

    Wanabodi, Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya shughuli zao kama ilivyo elezwa kwenye katiba. Je wana CHADEMA wanahaki kikatiba kufanya shughuli zao...
  11. Siasa za kishikaji ziliwafanya CHADEMA wakajisahau sana

    Ni hali ya kawaida kumantain status kwenye siasa ya kimataifa kuwa taifa lenu linazingatia misingi ya vyama vingi ni lazima chama tawala kiwe na vyama kinavyovilea kama vyama vya upinzani. Hii itaonyesha kuwa kweli multiparty system ina prevail. Ndivyo vyama vingi vya siasa hapa Tanzania...
  12. N

    Siasa gani hizi! Hofu yote ya nini hii?

    Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa...
  13. WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  14. H

    Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

    Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu" Aidha Msajili...
  15. Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

    Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu... Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
  16. Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

    Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
  17. B

    Siasa za kikanda: Malori 150 ya Tanzania Madereva wake wazuiwa nchini Zambia

    30 September 2021 Kasumbalesa Mpakani mwa DR Congo na Zambia na Nakonde Zambia Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya...
  18. P

    Profesa Shivji na wafanyabiashara kwenye siasa nadhani hajavuta kumbukumbu zake vizuri

    Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina ya wale wajumbe wa bodi ya TANESCO ndio akajenga hoja alizozijenga. Kwamba wafanyabiashara wenye...
  19. Wamachinga hawachukiwi- Wanasiasa acheni taaluma ifanye kazi ili kupanga miji

    Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa. NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma . Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
  20. R

    Albert Einstein: His boundless curiosity, creativity and imagination are beyond the realm of science to include the world and humanity more generally

    Father of modern physics. Nobel Prize winner. Moustache-touting deep thinker. Albert Einstein was many things. The German-born theoretical physicist is probably the world’s most recognised scientist. His formula expressing the relationship between mass and energy – E = mc2 – is well-known, if...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…