siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Cambridge Analytica Saga: Namna taarifa zinavyofanya kazi kwenye siasa

    Job saga. Ili ni vugu vugu ambalo wote tumekuwa mashuhuda kwani limeweka historia kwa nchi. Baada ya kuwa na spika wa kwanza kujiuzulu akiwa madarakani. Je, unafahamu Cambridge anlytica saga? Fuatana nasi, ila usisahau kufollow, like na kuacha maoni yako hivyo ni muhimu zaidi kwetu. Cambrige...
  2. J

    Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

    Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii. Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako. Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi...
  3. B

    Kanuni Mpya vyama vya Siasa zinazotaka kupenyezwa

    Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi. Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti. Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo. Pana sheria...
  4. N

    Mrema kaona mbali sana, sisi tunapiga mayowe tu kwa kutojua siasa makini

    Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata. Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula...
  5. Q

    Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  6. Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi, Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa? Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za...
  7. Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
  8. M

    Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  9. Kupenyezwa kwa Yanga kwenye siasa ni issue ya GSM na Makonda?!

    Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata...
  10. Kama Mtanzania, propaganda ni kitu cha kawaida sana

    Wanabodi, Kweli tumetimiza mwaka mmoja tangu Rais Samia aingie madarakani. Shangwe na vigelegele kila tunapo kumbushwa kuhusu miradi inayo endelea kusimamiwa na Rais. Mema yamefanyika, tuendelee kusubiria mambo mengine makubwa kutoka kwa serikali ya awamu ya sita. Katika haya yote, kitu...
  11. CHADEMA wamezoea harakati zisizo na mashiko ndio aina ya siasa walizozoea

    Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma. Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta...
  12. Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  13. K

    Funzo Siasa ni watu sio Cheo!

    Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu ana mjali alipo,. Hii ni kutokana na Ndugai kushiba cheo na kujiaminisha kama vile ana nguvu...
  14. E

    Kanuni za Mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa zilenge kusahihisha tulikopita

    Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na kanuni hizi zilenge kutoa majibu. Tukirudi katika historia tunaambiwa miaka ya 60 na 70 tulikuwa na...
  15. T

    Uhuru na Siasa Tanzania

    Tanzania bado ina shida kubwa sana katika kipengele cha siasa. Matatizo ya siasa za Tanzania yanasababishwa na Mambo makuu yafuatayo; 1) Katiba yetu imepitwa na wakati 2) Katiba za vyama vya siasa vyote Ni kandamizi kuliko hata Katiba ya nchi 3) Unafiki na ubinafsi 4) Mihemko na uelewa mdogo...
  16. Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  17. Serikali ya Awamu ya 6 kuanza kuwapa wafungwa mitaji. Hii ndio "legacy" itakayoishi daima

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana. Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao. Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa...
  18. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  19. Hali ya ushiriki wa Wanawake katika masuala ya siasa na ngazi za maamuzi Afrika hususan Tanzania

    Muamko wa Wanawake katika siasa na ngazi za kufanya maamuzi umekuwa finyu katika jamii nyingi ulimwenguni. Wanaume kwa idadi kubwa wamekuwa wepesi kushiriki katika kuwania na kutwaa nafasi za uongozi hususani ngazi za kufanya maamuzi. Makala hii fupi iliyotolewa na HakiZetu inajaribu kuangaza...
  20. G

    Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…