siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…

    Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi. Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo. Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili...
  2. Hivi ni kweli Serikali yetu imeshindwa kuyajua haya na wahusika wake?

    Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi; 1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa. 2. Kupigwa risasi kwa...
  3. N

    Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  4. Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
  5. Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Wakuu, Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa. "Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
  6. Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  7. J

    Leo kabla ya kujadili siasa kila mmoja ahakiki namba yake kwa kupiga *106#

    Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023. Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada. Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa. #HakikiLainaYako #2023kidijitalizaidi
  8. Mbowe: Siasa ndio msingi wa maisha yetu, tukiipuuza tutaendelea kuongozwa na wajinga tu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa; "Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
  9. Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

    Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida. Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe...
  10. R

    Lissu: Walisema arudi tutafanya uchunguzi, nimerudi nasubiri niitwe

    Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema; Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye majalada kuhusu tukio hilo na wenye wataalamu wanaojua silaha illiyotumika hivyo wao ndio wa...
  11. Maono: Tuepuke siasa za vyama katika makao makuu ya nchi Dodoma

    Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu. Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
  12. B

    CHADEMA, jino kwa jino haiwezi kuwa Haramu

    Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu. Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama vingine. Kwamba wenye chawa hawakemei hali hizi yawezekana ndiyo sera zao. Torati ya Mussa...
  13. M

    Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  14. Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  15. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  16. Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  17. M

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  18. UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani. Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye...
  19. J

    MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  20. Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…