siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. R

    Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  2. Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  3. Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  4. Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  5. Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

    Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa. Ndugu Watanzania tuwakatae...
  6. Hili Suala la siasa michezoni lingekemewa vikali.

    Hii habari ya kuleta mapicha ya Rais na mwenyekiti wa CCM uwanjani ni mchezo mbaya sana. Mpira ni mpira na siasa ni siasa. Msiwagawe wa Tz kwa kitu pekee kilichobaki kuwaunganisha. Kesho mtu akija na picha za Ahsante Mbowe au Ahsante Zitto mtaanza kuwarushia mabomu. Acheni hizo mambo...
  7. Ni katiba Mpya pekee itakayoweza kuwatofautisha wanasiasa na mwenyesiasa nchini Tanzania

    Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa. Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
  8. Siasa inahitaji uwe na jicho na pua ya Bundi!

    SIASA INAHITAJI UWE NA JICHO NA PUA YA BUNDI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna somo gumu kama somo la Siasa. Sio udaktari, sio uinjinia, sio ualimu, sio uanasheria, sio ukulima. Siasa ndio somo gumu zaidi Duniani. Kwa sababu Kabla ya yote Siasa ilitangulia na Baada ya yote Siasa ndio...
  9. M

    Yuko wapi Lowassa? Kwa kweli tumem-miss sana kwenye siasa za Tanzania

    Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu! Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
  10. Oparesheni +255 yaingia Mkoa wa Katavi, leo ni zamu ya Mpanda Mjini

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...
  11. Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

    Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
  12. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  13. Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  14. R

    Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  15. Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

    Kweli ulevi haufai popote pale duniani. Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane. Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu? Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
  16. Nilishangaa makala kiachwa tangu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana

    Huyu mkuu wa mkoa ni muhuni TU. Bora charamila mara10000. Yaani wananchi wanajosa amani anapiga porojo. Sikutegemea kuendelea hapo DSM nilishangaa makala kuachwa tangu watoto watukitu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana
  17. K

    Rais Samia usisite kwenye katiba usiweke siasa mbele!

    Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo 1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako 2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo...
  18. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na siasa

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha kuwa nchi inaendelea vizuri na wananchi wanapata huduma bora. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji bado ni changamoto kubwa. Hii ina athari kubwa kwa wananchi na inaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa...
  19. Siasa za kutishia kutajana majina ni siasa uchwara, za hovyo na mediocres

    Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki...
  20. Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…