siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  2. PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

    "Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
  3. B

    Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  4. PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  5. PostGE2025 Wazo Fyatu: Wamezoea Siasa za Kulipana, Hawaamini Kukataliwa!

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
  6. M

    Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala...
  7. PostGE2025 Amani Golugwa: Mwigulu anapotosha. Suala la Katiba halikuletwa ndani ya miezi 3

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai hayo hayakuibuka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi mkuu, bali yalianza muda mrefu uliopita...
  8. Listi ya watu wanaokabia juu kwenye siasa za Tanzania

    Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
  9. G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  10. M

    Kwanini kutoa Pesa kwenye Mabenki kutachochea Kuanguka kwa Serikali ya CCM. Katika jicho la Kiuchumi na Sayansi ya Siasa

    Mimi ni mmoja ya watu ninaounga mkono Maandamano yoyote yatakayotangazwa nchini hadi CCM ianguke na nchi ipate katiba mpya, hakuna shaka kabisa utawala uliopo umefitinika na hauna uhalali mbele ya watu na Mungu. Leo nitaelezea njia mojawapo ya kuchochea kuanguka kwa Serikali ya CCM, njia hii ni...
  11. Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
  12. M

    Yesu na manabii hawakushiriki siasa ila walikemea ilipoumiza watu, visingizio kanisa haligusi siasa ni kukosa upendo, ni kuvunja amri kuu ya Yesu

    Wasabato MPO ? Tag MPO ? Moravian MPO ? Eagt MPO ? Mwamposa mnasikia ?
  13. PostGE2025 Taswira ya Siasa Tanzania chini ya kivuli cha matukio yasiyo na Uwajibikaji

    Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
  14. Kujitenga na Siasa ni Kufanya Siasa

    Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa?? Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani mtu kujitenga na siasa, kwa sababu siasa ndiyo inaunda mfumo unaogusa kila kipengele cha maisha ya...
  15. PostGE2025 Hivi, zuio la CHADEMA kushiriki siasa halihusu vikao vya maridhiano?

    Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku kadhaa kuanzia kesho. Wakati hayo yakiendelea sote tunajua kuwa lipo zuio...
  16. Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  17. Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

    Nimewaza: Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri? Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria. Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
  18. Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  19. Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  20. R

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…