shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  2. Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  3. RC Shinyanga na M/Kiti BAVICHA Iringa,mabishano yenu kuhusu hali ya Corona Hospitali ya Shinyanga hayana tija

    Baada ya M/Kiti wa BAVICHA Iringa ,Ndugu Vitus Nkuna kualalmika kuwa Hospitali ya Mkoa ya Shinyanga ina Scarcity ya mitungi ya gesi ya Oksijen na wagonjwa wa Corona kuwa wengi, hatimaye mkuu wa mkoa wa Shinyanga naye amekuja juu na kumtuhum kwa upotoshaje. Pia alikwenda mbali zaidi kwa kutaka...
  4. RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  5. Mwanamke akutwa mtupu akiwa ameuawa Shinyanga

    Lucia Michael maarufu Mama Kulwa, mkazi wa Majengo Manispaa ya Shinyanga, amekutwa ameuwa na watu wasiojulikana, na mwili wake kutupwa nyuma ya Msikiti wa Majengo. Picha: Polisi wakichukua mwili wa Marehemu Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo aligundulika na majirani majira ya...
  6. Serikali Zanzibar kuendelea kuwahudumia majeruhi ajali iliyoua wanne Shinyanga

    Unguja. Makamu wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kuwahudumia majeruhi waliopata ajali katika basi la kampuni ya Classic mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ilitokea Juni 2, 2021 katika kijiji cha Buyubi kata ya Didia mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo...
  7. Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
  8. J

    Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

    Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea. Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar. Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
  9. Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

    Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
  10. Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  11. Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

    Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021. Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe. Nyingine hii hapa
  12. Shinyanga: Watatu wakamatwa kwa kutapeli Watu wakijidai ni Usalama wa Taifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zakaria ambaye ni Mwalimu (33) Feisal Husein Mtaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano (27) na Juma Almasi (35) Mfanyabiashara kwa tuhuma ya kupatikana na nyaraka za Serikali za kughushi kwa lengo la kufanya utapeli kwa...
  13. Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  14. N

    Metacha Mnata afukuzwa kambini Shinyanga kwa utovu wa nidhamu

    Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo. Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja kuliko vurugu za Lamine Moro kule Kigamboni, wachezaji kugomea mazoezi magumu kabla ya mechi...
  15. Shinyanga: Watoto waokota bomu ambalo halijalipuka lililoachwa na wanajeshi waliokuwa katika mafunzo ya kivita

    Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
  16. Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri. Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba...
  17. Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

    Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji. Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10 Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
  18. TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
  19. Wahalifu 231 wakamatwa na Polisi Shinyanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya Operesheni maalumu ya kukabiliana na kuzuia makosa ya uhalifu na kufanikiwa kukamata wahalifu 231 wanaojihusisha na unyang’anyi wa kutumia silaha, wakata mapanga na waganga wa jadi wanaojihusisha na upigaji ramli chonganishi ambazo ni chanzo na...
  20. Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…