sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Suleiman Abdulrahman bin Sheikh Suleiman Takadir Mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir

    SULEIMAN ABDULRAHMAN SULEIMAN TAKADIR MJUKUU WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR Mchana leo nimepokea simu aliyenipigia akajitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibari anapiga simu kutoka Zanzibar na jina lake ni Suleiman Abdulrahman Suleiman Takadir, mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la...
  2. Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

    Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa. Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
  3. Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  4. Sheikh Ponda Ahoji Uhalali wa Serikali: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyokithiri nchini. Watu wanauawa, Wanatekwa. Maisha ya Kinyama

    Siongezi wala sipunguzi. Sikilizeni kabla mods hawa delete huu uzi. Sheikh Ponda Issa Ponda ameibuka na kuonyesha kukerwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea nchini. Katika maelezo yake, Sheikh Ponda amehoji uhalali wa serikali, akisema kuwa vitendo hivi vinaathiri usalama wa raia...
  5. ''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

    https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_ DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956 Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU. Waliokaa chini kutoka kulia: 1 Sheikh Hussen Mbegu 2... 3 Ania S. Chaurembo 4. Mohd I. Chaurembo...
  6. M

    Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

    Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
  7. Huyu Sheikh haogopi? Anaitwa Sheikh nani?

    Amenishtua sana. Sijui anajiamini nini huyu.
  8. Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

    Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja. Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv...
  9. J

    Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  10. Video: Msikilize Sheikh Saleh Zagar

  11. TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  12. U

    Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  13. Twaha Mpembenwe (Kibiti MP): A lasting image of Sheikh Doga’s Parting call!

    Twaha Mpembenwe (Kibiti MP): A lasting image of Sheikh Doga’s Parting call! Sheikh Muharram Juma Doga , passed away peacefully on August 19th, 2024, with an affectionate family by his bedside. His departure is completely unwelcomed, that has left me deeply saddened! Sheikh Muharram J. Doga had...
  14. Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  15. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  16. India, Bangladesh Announce New Train, Bus Services During PM Sheikh Hasina's Visit

    New Delhi Prime Minister Narendra Modi and his Bangladesh counterpart Sheikh Hasina on Saturday articulated their shared vision for peace, prosperity and development of the two neighbours and the entire region driven by connectivity, commerce and collaboration Significant agreements...
  17. TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
  18. Ni Yupi Sheikh Suleiman Takadir na ni Yupi Iddi Tulio?

    SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA IDDI TULIO Nimeona kuna mkanganyiko wa nani ni nani kati ya wenyeviti hawa wawili wa Baraza la Wazee wa TANU. Kushoto ni Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958. Kulia ni Iddi Tulio Mwenyekiti Baraza la Wazee wa TANU 1958 - 1963...
  19. Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  20. Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…