sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Tumakinike tuchukue hatua: Ya UDART yasijirudie SGR

    Leo haikuwa siku njema sana kwa treni ya umeme ya SGR ilipopata ajali maeneo ya Ruvu ikielekea Dodoma.. Mungu ni mwema hakukuwa na vifo bali uharibifu mkubwa wa miundombinu Kwa muonekano wa ajali treni iling'oka matairi na kutoka nje ya reli.. Kama sio hujuma basi kuna uzembe mkubwa kwenye...
  2. Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  3. Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

    Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣 Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU . Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma . .
  4. GE2025 Serikali yamwaga bilioni 1.6 kwa wananchi wa Uvinza walioachia eneo la SGR kama fidia

    CCM wanambinu zao za dakika zajioni katika kuzitafuta kura. Lakini kama uchaguzi usikuwepo mwaka huu basi bila shaka wananchi wakeendela kuteseka katika kudai fidia zao ==================== Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imelipa zaidi ya shilingi bilioni 1.6 kwa wananchi 213 wa...
  5. D

    Toka kwa muuza mihogo mpaka SGR

    Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo. "Niuzie ya mia tano!" "Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni." Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria. Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
  6. TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  7. Responded Behewa namba 14 la SGR lilikokuwa bovu limetengenezwa, mambo yamenyooka

    Mtu wangu kutoka eneo la tukio kapiga simu kunishukuru, anasema muda mchache baada ya mimi kupandisha uzi huu, zoezi lilikokwama kwa siku nzima lilianza kufanyika huku treni inasafiri. Chanzo cha stori: KERO - TRC rekebisheni behewa namba 14 kwenye treni ya SGR. Hakuna hewa, mtaua watu...
  8. KERO TRC rekebisheni behewa namba 14 kwenye treni ya SGR. Hakuna hewa, mtaua watu

    Behewa namba 14 kwenye treni ya Mwendokasi halina hewa. Kwa mujibu wa mhudumu, tangu asubuhi, leo Oktoba 3, 2025 behewa hili limepata hitilafu na halijatengenezwa hadi sasa na hawajui litatengenezwa lini. Hii imeleta adha kubwa kwa wasafiri wanaotumia jioni hii maana behewa limejaa, hakuna...
  9. B

    TISEZA kutoa ardhi bure kwa wawekezaji. Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike?

    TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike. Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa. Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi Ni muhimu maeneo ya pembezoni...
  10. Kifo cha SGR hakiko mbali

    Mimi sio mtabili ila kwa yanayoendelea Tanganyika kwenye miradi kama Brt , Airtz ,n.k na kiona kifo cha Mradi huu muda si mrefu . Muda ni jaji
  11. Kwanini hawakufikiria SGR kupita SINGIDA wakaipitisha ITIGI

    Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
  12. Shuttle bus to/from SGR Stations

    Japo ni Jambo zuri ila bodaboda/bajaj/bolt watahujumu kwa Fitna za wazi na Sirini. Tujipe muda
  13. Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  14. SGR anzisheni kodi kwa abiria na Wasindikizaji

    Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
  15. Ajali ya Behewa la Machuma imesababisha Foleni kubwa hapa Kituo cha SGR

    Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
  16. D

    KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

    I will be short Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next . This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number . Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System...
  17. Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

  18. Moshi-Arusha tunapata lini SGR??

    Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
  19. KERO TANROADS Mwanza tunaomba Barabara ya Pamba road to Mkuyuni mchepuko wa SGR mtukwangulie

    Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni...
  20. Kuna dalili za huu utawala kuwatenga watu wa kanda ziwa. Mradi wa Sgr Dodoma Mwanza hautakamilika kwa wakati ili kuwadidimiza

    Kwa nini Dodoma iwe kipaumbele na mikoa ya Mwanza na jirani kusahaulika? Kuanzia Dodoma mpaka Mwanza kupitia Taboara mradi unasuasua. Maeneo ya Itigi kama vile hakuna mkandarasi Kuanzia Isaka mpaka Mwanza mradi umesinyaa kabisa. Oktoba ipo karibu watu wa Tabora, Mwanza, Shinyanga, mpanda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…