sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Trucks and tracks: Will Tanzania’s SGR ever work?

    Tanzania continues to show strong commitment to its grand $14 billion, 1,800km standard gauge railway (SGR) project. According to recent reports, the government is pushing forward with the Tabora-Gitega and Isaka-Kigali phases, connecting the infrastructure with Burundi and Rwanda, respectively...
  2. Rais Samia ashuhudia utiaji saini Ujenzi wa SGR kipande cha Nne (Tabora - Isaka 165km), aeleza kutoridhishwa na utendaji wa TPA

    AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari. - Bandari zimeboreka, mizigo kibao Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
  3. Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  4. Taarifa kwa Umma: Ununuzi wa Injini na Behewa za Abiria na Mizigo kwa Matumizi ya Reli ya Kisasa - SGR

    Taarifa kwa Umma Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. L

    Reli ya SGR ya Kenya yaongeza kasi ya usafirishaji wa mizigo mingi na kuchochea ukuaji

    Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018. Edward Opiyo, Meneja kituo katika Vituo vya reli ya Mizigo mjini Nairobi ambayo ni kampuni binafsi...
  6. Haileti maana kupunguza bajeti ya barabara kwa kuongeza bajeti ya kujenga SGR na kununua ndege

    Moja kwa moja kwenye mada. Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa miaka 5 iliyopita hadi bil.802 mwaka huu 2022/23. Pamoja na hayo Nimepitia bajeti za Ujenzi wa...
  7. Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
  8. Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi. Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni? Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  9. Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  10. Majaribio ya Mifumo ya Umeme Katika Reli ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam - Morogoro MOROGORO

  11. L

    Mapato kutokana na huduma za uchukuzi SGR Kenya yaongezeka

    Na Tom Wanjala Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wasafiri milioni 1.99 walitumia reli hii mpya mwaka wa 2021, na kuleta mapato ya shilingi...
  12. S

    CCM kumsifia Dkt. Slaa leo hii ni unafiki wa kiwango cha SGR

    Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
  13. Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  14. Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  15. Faida za mradi wa SGR ukikamilika

    FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA 1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya...
  16. Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  17. Serikali kulamba mkopo mwingine kutoka Benki ya Biashara ili kufanikisha ujenzi wa SGR

    CITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja na washirika wake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) pamoja na kuahidi kuwa balozi wa kutafuta wawekezaji wataowekeza mitaji na...
  18. L

    KTDA inashirikiana na Kenya Railways kusafirisha chai kwa SGR

    Na Tom Wanjala Viwanda vinavyosimamiwa na Wakala wa Maendeleo ya Chai Kenya (KTDA) sasa vitaweza kusafirisha mazao yao kupitia njia ya Reli ya Standard Gauge (SGR) kutoka Nairobi hadi Bandari ya Mombasa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi. Chini ya mpango huo, chai kutoka viwanda...
  19. Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

    [emoji397] [emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
  20. China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…