sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Naona miradi ya TACTIC imegeuka kuwa ya danadana kama Treni ya SGR? Septemba ndio imekatika hakuna hata katapila moja barabarani

    Serikali ilianza kuhubiri huu wimbo wa miradi ya Tactic Toka mwaka Jana ambapo walisema utekelezwaji wake ungeanza June 2023. Baadae wakaja wakasema inaanza mwezi Septemba 2023 lakini Hadi Sasa hakuna dalili ya kuanza Kwa utekelezwaji wa hii miradi sana sana ni semina,vikao na matamko...
  2. Kwanini Treni ya kasi Dar to Moro hadi leo haijaanza safari zake?

    Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
  3. D

    Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing . Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya? Maji shida? umeme shida? Usafiri...
  4. B

    Kinachopingwa na TEC na Watanzania walio wengi siyo Uarabu wala Uislamu; ushahidi ni miradi ya SGR na JNHPP

    Habari wana Jamii Forums, Pasipo kupoteza muda, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na baadhi ya watu walioishiwa hoja za kuunga mkono mkataba tata wa DPW. Hivyo baadhi wamejikuta wakitumia hoja ya udini na uarabu. Wanaopinga mkataba...
  5. Mgomo wa Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wamalizika, Mkandarasi (YAPI MERKEZ) aomba radhi kwa umma

    TAARIFA KWA UMMA UTEKELEZAJI WA MALIPO YA MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI WA KITURUKI WA MKANDARASI WA SGR, YAPI MERKEZI Dar es Salaam, Tarehe 21 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa (SGR) kati ya Dar es salaam Isaka inaitaarifu umma kuwa...
  6. A

    DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  7. Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  8. A

    DOKEZO Responded Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

    Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia. Ipo...
  9. Wafanyakazi wa kampuni ya Yapi Merkezi kwenye ujenzi wa SGR wagoma kufanya kazi kutokana na Madai ya kutokulipwa kwa miezi 7

    Takriban wafanyakazi 2,000 wa Uturuki walioajiriwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapı Merkezi katika mradi wa reli nchini Tanzania wamegoma tangu Agosti 5, wakidai kulipwa mishahara yao ambayo hawajalipwa kwa muda wa miezi saba iliyopita. Katika siku ya saba ya mgomo wao (Agosti 11)...
  10. Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  11. U

    Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

    Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko. Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake...
  12. Mbunge Daniel Sillo asema bila ya kuwa na Bandari imara Reli ya SGR haitakuwa na manufaa

    Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya Royal Tour lakini leo watalii wameongezeka Mhe. Daniel Sillo akasema hata swala la uwekezaji wa...
  13. TRC watoa majibu kuhusu uwapo wa Treni zenye Vichwa vilivyochongoka

    TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
  14. TRC Tunawakumbusha mlisema Mnaanza Majaribo SGR July 2023

    Hi Great thinker. Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú...
  15. Madhumuni ya Rais yalikuwa kuifanya bandari ya DSM kuwa ya Mwendo kasi ya kisasa kama SGR. Watekelezaji wamechemsha kwa kuanza na International Treaty

    1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
  16. N

    Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA...
  17. Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli? Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
  18. Tetesi: Etihad Rail kupewa SGR kuiendesha

    "....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad." "....moja ya masharti ya mkopo fulani kutoka kwao unakipengere hicho." "....Rais alishawaelekeza wataalamu hataki...
  19. T

    Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  20. Marekani, Uingereza na China zaitaka SGR

    Serikali imesema nchi tano zikiwamo China, Marekani na Uingereza zimeonyesha nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ushoroba wa Mtwara kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). Nipashe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…