sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  2. Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  3. E

    Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  4. Huu hapa muonekano wa Kichwa Mchongoko cha Treni kitakachotumika katika SGR

    https://youtu.be/h0_F13LspEI?si=Fb9vd3ROVGTv_rC2 Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  6. Vichwa Vipya 3 vya Treni ya Umeme SGR Vyawasili Nchini

    TRC YAPOKEA VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME SGR KUTOKA KOREA KUSINI Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya ‘Sung Shin Rolling Stock Technology’ (SSRST) kutoka...
  7. SGR kuwashwa Januari 24, tiketi zagombaniwa kama njugu

    Dugudugu kuwashwa trh 24.01 --- After multiple delays, services on the Dar es Salaam-Morogoro section of the Standard Gauge Railway (SGR) are currently expected to begin at the end of January 2024. This was stated recently by Transport minister Prof Makame Mbarawa on his visit to see the SGR...
  8. Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  9. N

    African Development Bank yaidhinisha mkopo wa zaidi ya trilioni 1.4 kujenga reli itakayounganisha Burundi na Tanzania

    Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR). Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
  10. Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya SGR

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  11. Mkurugenzi wa TRC, Kadogosa asema “Hatuna makubaliano yoyote ya kubadilisha mkandarasi wa SGR”

    Maswali kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kuhusu Mradi wa Reli ya SGR. Swali: Kuna changamoto kadhaa na malalamiko yanayoripotiwa na Wafanyakazi wa SGR hasa Lot 3 na 4, nini kinachoendelea? JIBU: Changamoto kwenye miradi mikubwa ni jambo la kawaida...
  12. SGR kubinafsishwa?

    Serikali ya Awamu ya sita Mungu anawaona!
  13. Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  14. A

    DOKEZO Wafanyakazi SGR Itigi tumeandama, watulipe stahiki zetu kabla hawajaondoka

    Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada ya kufukuzwa kazi. Mkandarasi Mkuu ametangaza punguzo la Wafanyakazi, sasa kila tukiuliza kuhusu...
  15. Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
  16. Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo...
  17. SGR Isaka-Mwanza Yafikia Asilimia 44.25

    Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tano kutoka Isaka mkoani Shinyanga hadi Mkoa wa Mwanza urefu wa kilometa 341 ukijumuisha njia kuu na njia ya kupishana kwenye stesheni unazidi kushika kasi na hadi sasa mradi huo umefikia asilimia 44.25. Meneja mradi kipande cha tano cha SGR...
  18. N

    Mkandarasi Mkuu wa SGR ametusitisha kazi lakini hataki kutulipa stahiki zetu, 'tunachohitaji sasa haki itendeke'

    Kama ilivyo kawaida dhuruma na uonevu unaendelea kufanywa na Makandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi dhidi ya Wafanyakazi wa Mradi. Leo tarehe 25 mwezi wa 11 baadhi wetu sisi Wafanyakazi tumeanza kuchoshwa na ubabaishaji wa Mkandarasi unaoendelea. Hapo kuna Makundi mawili ya watu...
  19. Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
  20. A

    DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…