sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Abiria wa SGR Dar -Moro, Moro Dar ni wengi sana, wanasababisha kukosekana kwa nafasi za moja kwa moja

    Ukikata ticket ya SGR siku moja kabla mf. Dodoma Dar, treni zote unakuta No seat available, ila ukijaribu Dodoma- Moro unakuta siti kibao wazi. Abiria wa Morogoro ni wengi sana. Nashauri waongezewe treni zao za kuishia Moro ili tusikose nafasi za moja kwa moja kwenda Dar na kumbe wanaojaza...
  2. Responded TRC: Tumepokea maoni kuhusu changamoto ya ukataji tiketi wa magari Kituo cha SGR Morogoro, tutafanyia kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja akieleza “Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu, Watu wanaganda kwenye foleni”, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepokea na litafanyia kazi hoja hiyo. Hoja ya Mdau ~ Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro...
  3. Hata Mradi wa SGR unatushinda kweli Kuendesha?

    Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi, Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu...
  4. A

    KERO Responded Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro uboreshwe, unasababisha Watu wanaganda kwenye foleni

    Nina kero kuhusu utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa magari katika Stendi ya Jakaya Kikwete, mkoani Morogoro. Utaratibu uliopo si mzuri kwa sababu tunatumia muda mrefu kwenye foleni kusubiri kukata tiketi ili magari yaweze kutoka nje ya stendi. Changamoto hii inahusu magari yanayoleta na...
  5. Tiketi za SGR 782,000 zanunuliwa lakini hazikutumika ndani ya miezi tisa

    Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa bungeni. Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliuza tiketi milioni 7.64 katika...
  6. Mbunge wa Tanga, Kassim: Kwanini SGR inasema “no seat available” halafu kwenye treni zipo wazi?

    Mbunge wa Tanga, Kassim Amari Mbaraka amehoji kuhusu kutopatikana kwa tiketi za Treni ya SGR kwa kuonesha kuwa No Seat Available ilihali ukiingia ndani ya Treni kunakuwa na Siti nyingi ambazo hubaki wazi. Ametoa hoja hiyo leo Oktoba 27, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiuliza swali Wizara ya...
  7. U

    KERO Mazingira ya nje SGR stand ya Samia Dodoma ni mabaya! Kuko rafu

    Jambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere Dar. Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni...
  8. Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  9. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  10. W

    Rwanda Yaelekeza Macho Kenya; Yapanga Kituo Cha Mizigo Kupokea Bidhaa Kutoka Mombasa Kupitia SGR

    Rwanda imepanga kuwekeza katika kituo cha usafirishaji na uhifadhi wa mizigo katika eneo la Mai Mahiu Special Economic Zone, Naivasha, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa bidhaa kutoka Bandari ya Mombasa kwenda nchini humo kupitia reli ya Standard Gauge Railway (SGR). Waziri wa...
  11. KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  12. A

    Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  13. Je kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR

    Habari, Naomba kufahamishwa kama kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR mana nashindwa kuingia kwenye mfumo. Nashukuru
  14. SGR inahujumiwa......

    Wanabodi habari..... Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie...
  15. TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  16. Anajuta sasa hivi kwanini alileta hule uzi wa wazamiaji SGR business class

    Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma. Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama mwewe na kumshutumu. Nadhani alijuta kuposti. Kwenye huo uzi nilijifunza bado kuna integrity na...
  17. TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  18. A

    HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

    Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
  19. TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  20. SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

    SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…