sekta ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ndejembi amwakilisha Rais Samia mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
  2. A

    Mavunde: Afrika ni moja, tushirikiane kugeuza utajiri wa madini kuwa viwanda na ajira

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amezitaka nchi za Afrika kuacha kufanya kazi kwa kujitenga na badala yake kuunganisha nguvu katika usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za madini ili kukuza viwanda, ajira na uchumi wa bara hilo. Ameyasema hayo jana Jumatatu Oktoba 19, 2026 wakati...
  3. H

    Mwigulu: Rais Samia ni nyota wa mchezo ukuaji sekta ya madini

    โ–ช๏ธ๐—”๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜„๐—ฎ โ–ช๏ธ๐—ช๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa kichocheo kikubwa cha mabadiliko na ukuaji wa sekta ya madini nchini. Amesema kwa maelekezo...
  4. Sekta ya madini yazidi kuweka misingi ya kufikia malengo mapya

    Kutokana na kuongezeka kwa kasi ya uwekezaji katika shughuli za kuongeza thamani madini nchini na kujifungamanisha kwake na sekta nyingine za uchumi, Sekta ya Madini imeendelea kuweka msingi madhubuti wa kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kujenga uchumi wa Dola...
  5. Serikali ya awamu ya sita, Imefeli Kusimamia Sekta ya Madini Chunya na Songwe

    Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
  6. UDOM na Barrick kuanzisha mashirikiano katika sekta ya Madini

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampuni ya Barrick Gold Corporation zimeanza majadiliano ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati utakaolenga kukuza maendeleo ya sekta ya madini kupitia mafunzo kwa vitendo, tafiti za pamoja na ubadilishanaji wa utaalamu. Majadiliano hayo yamefanyika leo Mei 5...
  7. Sekta Madini Kinara Mapato ya Serikali, Kichocheo cha Uchumi, Huduma na Ustawi wa Jamii

    Sekta Madini Kinara Mapato ya Serikali, Kichocheo cha Uchumi, Huduma na Ustawi wa Jamii Sekta ya Madini imetajwa Kinara katika kuchangia makusanyo ya Serikali, mapato ya wananchi na uwekezaji kwenye huduma za kijamii kama elimu, afya ikichangiwa na mchango wake kwenye Pato la Taifa kutoka...
  8. GE2025 Mavunde: Sekta ya madini ya dhahabu, inachangia asilimia 30 ya maduhuli ya serikali

    "Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na ulitoa maelekezo katika Mkoa wetu tutoe leseni kwa wanawake, Vijana na wenye ulemavu na wapo akinamama...
  9. GE2025 Doyo Hassan Doyo aahidi kupitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini

    Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Taifa, atapitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na uwepo wa rasilimali za madini. Amesema mchakato huo utafanyika...
  10. C

    Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  11. Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Madini Yaingiza Serikalini Shilingi Trilioni 1.07

    Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1. Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi. Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa |...
  12. W

    Tume ya Madini yazidi kunadi fursa za uwekezaji katika sekta ya madini

    Tume ya Madini imeendelea kunadi fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya madini kupitia ushiriki wake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la...
  13. W

    Ollal: Jukwaa la nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini lilete mabadiliko

    Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini katika eneo la ajira na utoaji wa huduma...
  14. W

    Jukwaa la Nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini laanza Mwanza

    Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara ya Madini na Taasisi zake, Taasisi za Serikali, Taasisi Binafsi, Taasisi za Fedha, Kampuni za...
  15. W

    Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  16. W

    WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  17. W

    Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya Bilioni 902 kati ya lengo la Trilioni 1

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
  18. W

    Mhandisi Samamba awataka Watendaji Tume ya Madini kuendelea kuongeza ubunifu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini kupitia shughuli za utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini sambamba...
  19. W

    Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Samamba awataka watendaji Tume ya Madini kuendelea kuongeza ubunifu katika sekta ya madini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini kupitia shughuli za utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini sambamba...
  20. W

    Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia kwa mafanikio makubwa ya sekta ya madini

    Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ