Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi.
Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...