Mimi nikiwa mmoja wa wanafunzi tulioingia shule hiyo miaka ya sitini baada ya serikali kuichukua na kuifanya sekondari ya kimataifa, niliona dosari kwenye historia inayohusu shule hiyo.
Dosari mojawapo ni kuwa shule hiyo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu! Hapana, baada ya...