saudi arabia

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara 2030 (EXPO 2030)

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO 2030). Ahadi hiyo imeelezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo alipoelezea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudi Arabia kusaidia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana

    Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Saudi Arabia washutumiwa kuua mamia ya wahamiaji wa Ethiopia

    Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia. Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu kuvuka mapakani kutoka kwenye taifa lililokumbwa na vita la Yemen. HRW imesema takriban watu 655...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wakimbizi wauwawa mpakani Saudi Arabia

    Mamia ya wakimbizi wauwawa kinyama kwenye mpaka wa Saudi Arabia. Alafu hawaa ndio tunawapigania kwa nguvu zote waje kwetu. Jamani tufumbue macho na kutafakari tena na tena na hii mikataba. ====== Saudi border guards are accused of the mass killing of migrants along the Yemeni border in a new...
  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mass Killings of Migrants at Yemen Border

    Saudi border guards have killed at least hundreds of Ethiopian migrants and asylum seekers who tried to cross the Yemen-Saudi border between March 2022 and June 2023. Saudi officials are killing hundreds of women and children out of view of the rest of the world while they spend billions on...
  7. JamiiForums Tanzania Neymar ajiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia

    Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil na Club ya PSG Neymar amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound milioni 129.4 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 411. Uhuru wa matumizi ya Fedha unaharibu ladha ya soka. --- Neymar signs for...
  8. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia wapeleka balozi Jerusalem kwa mara ya kwanza

    Saudi Arabia imemteua balozi wake wa Jordan kuiwakilisha nchi hiyo nchini Palestina na awe na ofisi zake mjini Jerusalem ambayo ndio yatakuwa makao makuu ya serikali mpya ya Jamhuri ya Palestina. Hata hivyo uteuzi huo umepingwa na serikali ya Israel kwa madai kuwa hawataruhusu balozi huyo awe...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

    Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben...
  10. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: :Uwekezaji wa Saudi Arabia unaleta changamoto ngumu kwenye Soka la Ulaya"

    Kauli hiyo inafuatia Winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez kujiunga na Al-Ahli ambapo Pep ameeleza kuwa uwekezaji wa Matajiri hao wa Mafuta unaolenga kujenga Ligi ya kipekee huko Uarabuni unaleta changamoto mpya na ngumu katika Soka la Ulaya. Pep amesema "Saudi Arabia imebadilisha soko, wakati...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  12. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  13. JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa UEFA Ceferin atoa Onyo kinachoendea Saudi Arabia

    Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi za Usajili: Lionel Messi kutua Saudi Arabia kwa Trilioni 1.5, Baba yake akanusha

    Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal kuanzia msimu ujao. Jorge ambaye pia ni Wakala wa Messi amedai hakuna mazungumzo yoyote kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  17. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  18. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kufanya kazi kiwanda cha Almarai Saudi Arabia namuhitaji

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza passport. Na kampuni ilikufa iliyokua ndiyo agent. Kama kuna aliyewahi kupiga kazi nahitaji kuuuliza mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…