sanaa

  1. L

    Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  2. Wataalam wa sanaa ya uchoraji

    Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya. Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara. Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...
  3. Aprili 15: Maadhimisho ya Siku ya Sanaa Duniani

    Sanaa katika aina zake mbalimbali inaruhusu watu kujieleza kwa namna yao. Siku ya Sanaa huadhimishwa kila Aprili 15 kukuza ufahamu juu ya umuhimu wa Sanaa katika maisha yetu ya kila siku Sanaa ina nafasi muhimu katika kutoa maarifa, na Siku hii inalenga kuimarisha daraja kati ya Ubunifu wa...
  4. D

    Ijue sanaa ya wezi (Vibaka na majambazi)

    Je, ulishawahi kutumia japo dakika chache kuwaza 'Saikolojia ya wezi? Wizi ni sanaa ya kuchukua kisicho halali yako! Wizi ni sayansi ya kujimilikisha visivyo vyako! Je; Inakuwaje mtu anakua mwizi? Chimbuko kuu la wizi ni DHIKI, TAMAA au MATATIZO YA KISAIKOLOJIA Chimbuko la kwanza la wizi...
  5. Kipaji pekee hakitoshi, Elimu ni msingi muhimu katika ukuzaji wa Sanaa

    Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na hufurahia kukifanya. Lakini msanii huyu ili afanye vizuri zaidi anatakiwa kuongezewa elimu katika...
  6. Kama ilivyo kwa sanaa ya muziki na kazi nyingine za sanaa zipewe nafasi ili ziweze kukua zaidi

    Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
  7. BODR-Snoop Kaupiga Mwingi Sanaa

    Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite tracks are 1.House I Built 2.Crip Ya Enthusiasm
  8. J

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ahimiza kasi ujenzi jengo la Wizara (wusm)

    NAIBU KATIBU MKUU YAKUBU AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WUSM Adeladius Makwega-WUSM Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ndugu Saidi Othuman Yakubu Februari 24, 2022 amesema kuwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mkandarasi Mjenzi na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)...
  9. B

    Kuna baadhi ya maneno yakitumika kunogesha soka, kwa wengine si "sanaa" bali huleta maumivu

    "Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka. Baadaye kilichofuatia ni tamko kutoka katika uongozi wa Simba. Lugha iliyotumika kukemea tukio la kupigwa mashabiki hao ndio...
  10. Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

    Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka. Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa. Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu. Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili...
  11. Hi inaitwa sanaa

  12. Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  13. Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

    Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA *********** NI WIMBO GANI BORA KWAKO, TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
  14. HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  15. Jinamizi la kupandisha bei vifurushi linaitafuna sanaa yetu, views milioni zinatafutwa kwa tochi

    Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma kwenye sekta ya sanaa. Views milioni zamani ilikuwa ni ishu ya kawaida mno, kwa sasa watu wanawasha data kwa machale achilia mbali kuzama youube kwa manati. Tukumbuke kwamba youtube views ilikuwa moja kati ya silaha kubwa mno kufanya...
  16. Erick Omondi akumbushwa kuheshimu sanaa

    Mcheshi asiyepungukiwa na utata maishani Eric Omondi kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumapili alitoa wito kwa wanamuziki wa Kenya watie bidii zaidi kazini huku akidai kuwa sekta ya burudani hapa nchini imekufa. Omondi aliwashinikiza wasanii waamke huku akidai kuwa wengi wao wameisha...
  17. K

    Hivi mtu anayeitwa Uchebe ni Msanii wa Sanaa gani?

    Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
  18. Ujumbe katika picha kutoka sanaa ya uchoraji

    Wasanii wa uchoraji duniani kote wamekuwa wakitumia sanaa kufikisha jumbe kwa namna fikirishi, mfano kwa hapa kwetu ni zile maarufu za Masoud Kipanya. Zinazoakisi mwenendo wa maisha yetu ya kila siku. Hebu tupia picha uliyoiona ni fikirishi itufikirishe pia.
  19. L

    Sanaa na kazi za ubunifu za Afrika zakaribishwa nchini China

    Na Kelvin Ogome Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
  20. Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

    Habari zenu wakuu, Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio. Hebu tuangalie nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…