samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  2. PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

    Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
  3. Q

    PostGE2025 CCM kubalini yaishe, mtamponza Mama Samia

    CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu. Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala...
  4. 9DecemberTunataka- Mustakabali na Matokeo ya utawala wa kikatili wa Samia

    🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
  5. K

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  6. R

    PostGE2025 Heche: Uchaguzi wa Rais Samia ni Matusi kwa Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
  7. R

    PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  8. D

    Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  9. D

    Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  10. PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  11. Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  12. PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  13. Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  14. PostGE2025 Kwanini tunamlaumu sana Samia wakati aliyempenyeza na anayemuendesha tunamuacha?

    Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili kumbana hata kumshughulikia Magufuli kama walivyofanikiwa kumuondoa. Hayo tuyaache. Kikwete kashinda...
  15. M

    PostGE2025 Jicho la tatu: Watanzania tuingie katika maridhiano kama Serikali ya Samia inavyotaka

    Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake...
  16. PostGE2025 Je, Raisi Samia Suluhu Hassan Umeamka Kujichunguza?

    Rais Samia! Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
  17. Tume iliyoundwa haiwezi kuchunguza chochote bali inaenda kuchochea machafuko zaidi na kumvua nguo Samia, utasikia waliokufa walikuwa na madeni

    Tume iliyoundwa haiwezi kuchunguza chochote bali inaenda kuchochea machafuko zaidi na kumvua nguo Samia utasikia waliokufa walikuwa na madeni. Iundwe tume ya uchaguzi kutoka nje ya nchi. samia anazima moto kwa mafuta ya pikipiki.
  18. Tume aliyoiunda Samia ni upigaji mtupu wa kodi za wananchi. Hakuna litakalofanyika, ni kuendeleza dharau zake!

    Yani hii tume alichokifanya ni kubandika tu majina anayoyajuwa yeye ya kumlinda zaidi, lakini si kuwasaidia wananchi. Yani tume hakuna hata Human Rights Organization, wadau wengine kama Vyombo vya Habari, halafu unasema hiyo ni tume. Yani Samia kashatuona sisi watanzania ni kama bibi zake wa...
  19. Kikwete aongoza Mahafali ya 55 ya UDSM - Vijana wanafuraha isiyo na kifani, sasa Serikali ta Mama Samia imewaandalia kazi za kumwaga

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini. Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
  20. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…