samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu. Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania...
  2. CCM ya Rais Samia, Dkt. Nchimbi na Mwenezi Makonda tuishauri lipi? Mengi yametekelezwa

    WanaJf, Salaàm! Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi. Umeme upo Maji yapo Barabara zipo Mikopo kwa wanafunzi ipo Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika Ajira kwa vijana zimeongezeka Ruzuku ya kilimo ipo Michezo imefadhiliwa nk nk Sasa...
  3. Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  4. R

    Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  5. Aidha ni miongoni mwa wenye kumwangusha Rais Samia na au anafanya yaleyale ya mtanifanya nini!

    Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie ubaya unaozidi ubaya, hawawezi kukufanya chochote, zaidi sana wataandika na kulalamika huku wakiishia...
  6. M

    Rais Samia, tunaomba ujenge Football Academy

    Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu. Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye...
  7. M

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  8. PreGE2025 Hashim Issa: Rais Samia na chama chake wameshindwa kuongoza nchi, waondoke Madarakani

    Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba hii, ndugu zako Wanzibari? Sisi ndio tutafaidika mwanzo sababu sisi tumefungwa jela, tumefungwa...
  9. Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  10. Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

    Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar. Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu...
  11. PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  12. PreGE2025 Tuseme ukweli: Rais Samia akiruhusu mchujo kwenye nafasi yake atabaki?

    Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini. Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni. Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo...
  13. Falsafa ya 4R inavyombeba Rais Samia

    MIAKA mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan akabidhiwe kijiti cha kuiongoza Tanzania wadau wa demokrasia wanaielewa falsafa yake ya 4R yaani maridhiano, ustahamilivu, mageuzi na kujenga upya. Wakati akikabidhiwa kijiti Machi 2021, Rais Samia alisitiza dhamira yake ya kuijenga Tanzania moja...
  14. Rais wetu Samia anasifiwa sana, tena anafanya mambo makubwa kimya kimya, ni yepi hayo?

    Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo, lazima uishinde njaa kwanza na ndipo utapata balansi ya fedha za kuanzisha vitu vingine kama kujenga...
  15. D

    PreGE2025 Kwani Rais Samia si aliapa kulinda Katiba? Maandamano ni HAKI ya Kikatiba

    Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli? Jeshi letu mbona liko tofauti na majeshi mengine duniani...
  16. Ngara: Taarifa ya Kupokea Mamilioni ya Fedha Kutoka kwa Rais Samia Kwenda Jimbo la Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anapenda kuwajulisha wananchi wote wa Jimbo la Ngara kuwa kazi yake ya uwakilishi inaendelea kulipa baada ya kushiriki kuipitisha Bajeti ya Serikali sambamba na kufuatilia fedha za kujenga miundombinu mbalimbali ndani ya Jimbo la Ngara...
  17. Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  18. SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa. Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata. Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
  19. D

    Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji...
  20. Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…