samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia amefanya makubwa makubwa katika sekta ya nishati kuliko kiongozi yeyote

  2. Q

    Kikwete alijua kula na upinzani, Samia anataka kula kwa upanga

    Pamoja na mapungufu yake Kikwete alijua kuishi na upinzani aliimudu nchi, mfano bunge lilikuwa almost 40/60, katiba mpya, barabara. Kikwete alikula huku akipuliza kwa amani na kicheko, sijui kwa nini anampotosha mwenzake anayetaka kula huku ameshikilia upanga mkononi. Samia ajifunze kwa Ruto...
  3. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚...
  4. DKT. MWIGULU AMPONGEZA RAIS SAMIA KUPANUA ELIMU YA AMALI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu ya amali nchini, akisema uwekezaji huo unalenga kuwapatia vijana ujuzi utakaowawezesha kujitegemea. “Hii ni hatua kubwa sana, na inalenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa na ujuzi,” amesema. Dkt...
  5. Nimeipenda hotuba ya Rais Samia UN, ameshangiliwa sanaa. Tunasonga mbele

    Hotuba fupi lakini yenye maana kwa kila neno. Kilichonishangaza ni makofi mengi kwake. makofi mengi haya maana yake nini? Utasema naongea uchawa lakini hebu sikiliza mwenyewe hapa. https://youtu.be/juimjW6PrDw?si=IH5XCbVEffcYZumv
  6. TPA Yamshukuru Rais Samia Uwekezaji Wa Sh60 Bilioni Bandari Za Ziwa Victoria

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
  7. P

    Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

    Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko...
  8. L

    Hotuba Ya Rais Samia Yautikisa Umoja Wa Ulaya. Wazungu Wamshangilia na Kuguswa na Hotuba Yake Iliyotoa Majawabu Kwa Maswali yaliyokuwa Yakiwatesa

    Ndugu zangu Watanzania, Kila Anapokwenda Rais Samia ni Lazima Uone Ushindi Wa Alama 3 Muhimu ,Ni lazima Uone Vishindo vya Makofi na kushangiliwa ,Ni lazima uone akiibuka kinara wa Mkutano na kujadili na kila Mtu Ni Lazima uone Wanaomfuata Wote wakipata taabu kubwa sana ya kuzungumza mambo...
  9. Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Yaani akisimama na watu unamtafuta kwa tochi. Kumbe wakina Msigwa wanamkuza.. Nionesheni bila kuzoom Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya...
  10. Utamkumbuka Samia kwa yapi?

    Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030 Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo. Yawe mabaya au mazuri Uwanja ni wako
  11. Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini. Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi. Wakati taarifa...
  12. O

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu Watanzania ni wakati tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa kukutana na Rais SAMIA ili kuzungumza kukwamua mkwamo wa kisiasa na hatma ya Tundu Lissu.Lazima...
  13. Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  14. Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  15. Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  16. “Namshukuru rais Samia” — mzee Kugia akabidhiwa bajaji

    “Nilikuwa na mawazo, nilikuwa silali… Sasa Mungu ameniona kupitia kwako, kupitia Samia namshukuru.” Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato. Mzee...
  17. F

    Baada ya kumfunga Lissu, unamshauri nini Samia?

    Rasmi, Tundu Lissu ni mfungwa. Je, hii imelenga kumzuia kugombea tena urais? Hivi, Samia anafaidikaje na ukatili na uvunjaji sheria huu ulioandamana na ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu. Kwa wale wenye mawazo kama yangu kuwa haki haikutendeka, mnaweza au mnataka kumshauri nini rais...
  18. Ni kama Walinzi wa Samia wamebadilishwa baadhi yao

    Leo akiwa airport, tumeona baadhi ya walinzi wa Rais Samia ni kama baadhi yao wamebadilishwa. Hao wenye kubeba mabegi ni wapya kabisa. Hii imekaaje kimedani?
  19. Kumbe kuna watu hadi leo walikuwa wanashikiliwa na serikali ya Samia tangu vurugu za October 29,2025?

    My take,Kumbe walituzuga tu wameachia vijana kadhaa wengine wakaendelea kushikiliwa
  20. Naomba nikumbushwe washauri wa rais Samia katika sheria, na siasa maana ninachokiona hata mwalimu wa sayansi kimu hawezi kukifanya,nyarandu ni nani?

    Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais? Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…