salary

  1. Ashukuriwe aliyebuni online salary slips kwa watumishi wa umma. Hakika ameficha aibu zetu

    Najua mjamaa alikopi kutoka nchi za watu ila kakopi jambo jema. Sasa ni siri ya mtu binafsi, maana enzi zile unakatwa makato na bank mara bodi ya kahawa mara makato ya NHIF. Unaambulia kiduchu na mandezi ya masijala yanakodolea salary slips zako basi daaah.
  2. D

    PRSS 1.1 Salary Scale

    Habari wakuu.Nimejaribu kutafuta hii scale salary ya PRSS 1.1 ila nimeshindwa kupata jibu kwenye thread zilizopita.Kwa anayejua tafadhali naomba anisaidie inaanzia ngapi.Natanguliza shukrani zangu.
  3. Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…