sala

Šaľa (pronunciation ; Hungarian: Vágsellye, German: Schelle) is a town in south-western Slovakia.

View More On Wikipedia.org
  1. Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  2. R

    Kwa nini Mungu hajibu sala zetu. Ukweli mchungu!

    https://youtu.be/etQQdqnRvfQ?si=XmjlLqMaf2oqxako
  3. Sala za kale zinazopaswa kutumiwa kwa makini sana

    1. Ili kujikomboa kutoka kwenye mahusiano yaliyojaa ugomvi mtupu..! funga fundo gumu kwenye uzi mweusi, ushikilie juu ya mshumaa uliowashwa na useme maneno haya "Kifungo kilichogeuka kuwa ugomvi, ninakutegua. Kilichokuwa chetu ninakirudisha kwenye upepo, kilicho changu kinabaki nami. Ikiwa...
  4. Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  5. Sala iliyojaa ukweli mchungu

    Happy Money Day
  6. Sala ya mlevi

    Yesu yupo karibu yako hayuko mbali na wewe.YESU anajibu maombi ya watu wake ukiomba kwa imani kwa jina la Yesu. Ukijinyenyekeza chini ya mkono wa Yesu wenye nguvu,ukijiona haufai mbele ya Yesu,ukijiona hautoshi,ukijiona ni mwenye dhambi mbele za Yesu na kukiri kwamba Yesu ni mtakatifu na jina...
  7. Mimi sifanyi maombi yoyote zaidi ya kusali sala ya baba yetu uliye mbinguni kila baada ya lisaa limoja

    mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
  8. R

    Sala ya Leo: Usiku Mwema Mungu atatenda

    Wote tusali kwa pamoja kadri ya maandishi kwenye picha hapa chini na wimbo wake. Mods niwekee hiyo clop vema
  9. R

    Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  10. Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  11. Sala ya Leo: Mithali 29:2- Mamlaka na Haki

    Mithali 29:2* “Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.” Uhafanuzi Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu, lakini uongozi wa waovu huleta mateso na huzuni. Tuombe Ee Mungu tunakushukuru kwa neema hii ya...
  12. Wakatoliki wa kweli hawaropoki hadharani wanatenda kwa Sala!

    Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa. Wote waliofanya hivyo nina...
  13. PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  14. Aliyemwandikia sala Mufti mkuu ndo huyo huyo aliyemwandikia hotuba Mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
  15. Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  16. Eti leo jumapili umejifanya kutuongoza sala wakati jana juma mosi ulikuwa juu ya meza🤣

    Anyway kila mtu na maisha yake..😂
  17. D

    Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  18. Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  19. Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…