safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Mabango ya Samia yachomwa Masenze, safari ya kuelekea Ikulu inatengenezwa

    Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini. Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya
  2. Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  3. Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  4. Accountant at Safari Automotive Africa October 2025

    Position: Accountant Location: Dar es Salaam – Tanzania Industry: Automotive Company: Safari Automotive Africa Employment Type: Full-Time Date: 20th October 2025 – 28th October 2025 ABOUT US: Safari Automotive Africa is a trusted and rapidly growing automotive company with a presence in...
  5. P

    Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  6. Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  7. Leo utaona safari ya roho kupitia mbingu 7 kisha kwenda Barzakh

    katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi? baada ya kifo roho hupanda hadi mbingu 7 ambako huvumbua siri za ulimwengu katika kila mbingu...
  8. Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  9. Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  10. Meli ya New MV Mwanza ilivyofanya safari ya kwanza Mwanza kwenda Bukoba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
  11. Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  12. Je, kuna haja yoyote ya kuweka madawati ya ukaguzi wa pasi za kusafiria hata kama msafiri imefanya check-in tiyari na safari yake imekuwa confirmed?

    Wakuu, nipo hapa sehemu moja yaitwa Mbande ukielekea Kibaigwa ndo naandika haya niliyaona jana nilipokuwa nikimsindikiza mmoja wa marafiki zangu huko Dar JNIA. Kuna kitu kimoja yawabidi Idara ya uhamiaji na usalama kujiongeza kidogo na kuwa na taarifa za uhakika na za papo kwa hapo kuhusu Idara...
  13. Wakati wa awamu ya nne watu walikuwa wakiiba hela inarudishwa katika mzunguko ila safari hii ni ununua magar ya kiahari , hivyo hali ya uchumi kukaza

    Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa. Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k Magari ambayo ni zero kilometers. Na yenye thamani ya Billions of money. Yaani wameamua kutakatisha Pesa...
  14. Suggested 3-Day Serengeti Camping Safari (Domestic)

    Day 1: Departure from Arusha (au karibu), kufika Serengeti kwa mchana, safari ya mchana (game drive), kulala campsite Serengeti. Day 2: Siku nzima ya game drives ndani ya Serengeti—uwezekano wa kuona the Big Five, uhamaji mkubwa wa nyumbu na pundamilia (inapotokea), twiga, faru, chui, simba na...
  15. Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari)

    Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari) Karibu sana ndugu yangu Mtanzania! Kama tour guide mwenye miaka mingi ya uzoefu, napenda nikushirikishe itinerary ya safari ya siku mbili Serengeti. Safari hii ni budget friendly camping safari, lakini bado inakupa...
  16. Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  17. Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

    Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch Oya Acheni hizo basi wazeee Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
  18. Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  19. Doroth Gwajima hagombei safari hii ?

    Wakuu nimejaribu kuangalia jina la DR Doroth Gwajima sijaliona au safarii hahombei
  20. Kama ndo hawa majasusi tulio nao nchini ndani ya serikali tuna safari kubwa sana

    Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole. Nchi hii imejaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…