safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  2. Wewe ni nani? Safari ya kujitambua

    MIMI SIO MIMI... Kuna swali ambalo mwanadamu huliepuka kwa sababu likiulizwa kwa umakini linavuruga kila kitu alichodhani anakijua kuhusu yeye mwenyewe: “Wewe ni nani?” Ukijibu, “Mimi ni mwili,” swali linarudi: mwili upi - ule wa utotoni, wa ujana au huu wa leo ambao kila siku unabadilika...
  3. Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  4. ATCL: Tumesitisha safari ya Dar - Moscow kutokana na vihatarishi vya mazingira ya uendeshaji

    PUBLIC NOTICE TEMPORARY SUSPENSION OF FLIGHTS TO MOSCOW 3rd September 2026, Dar es Salaam Air Tanzania Company Limited (ATCL) wishes to inform its valued customers and the general public that flights TC422 and TC423 between Dar es Salaam and Moscow are temporarily suspended with effect from 4th...
  5. Maumivu yanaweza kubadilika kua nguvu, fedheha inaweza kua motisha na kukataliwa kunaweza kua mwanzo wa safari mpya kubwa kuliko unavyofikiria

    Usimdharau mtu anae nyamaza kimya baada ya kudhalilishwa, usifikiri kimya chake ni udhaifu, huenda kimya hicho kinaandaa ushindi wake. My friends, ladies and gentleman, kukata tamaa ni dhambi. Ni muhimu sana kuzibadili changamoto unazopitia maishani ili kua fursa ya kujisahihisha...
  6. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  7. O

    Abiria wakwama JKIA, safari zikichelewa kufuatia 'Go-Slow' ya Wafanyakazi wa shirika la anga

    Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) wamejikuta wakisubiri kwa saa kadhaa huku safari za ndege zikichelewa kutokana na go-slow ya wafanyakazi wa anga. Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha abiria wakiwa na hasira na kuchanganyikiwa, huku baadhi yao wakidai...
  8. Playlist ya Bongofleva kwa Wapenzi wa Safari

    Takribani miaka 30 ya muziki wa Bongofleva, imekuwa wazi kwamba muziki, maisha na safari huenda sambamba. Nyimbo hutengeneza kumbukumbu za kipekee zinazohusishwa na maeneo, hali ya hewa, mandhari na matukio tuliyokutana nayo safarini. Zinapounganishwa na hisia zetu za kuona na kunusa, huacha...
  9. ONGEZEKO LA SAFARI ZA SGR KUANZIA SEPTEMBA 01, 2026!

    Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku. Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.
  10. Labda safari hii mradi wa Liganga-Mchuchuma utaanza kweli

    Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu. Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea kuzalisha tani milioni 3 kwa mwaka na kuwa na mradi wa umeme wa makaa wa 600MW Huko Liganga kuna madini...
  11. Kuelekea safari yangu ya mziki, jana nikakutana na mchambuzi mkubwa Afrika, Hopetyga tz

    Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye. Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
  12. A

    Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka

    Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka. Wakati mwingine kinachohitajika ni kusimama kidogo, kubadilisha tairi na kuendelea na safari. Maishani, kuna nyakati watu hubadilika, nafasi hubadilika na majukumu hubadilika. Mwenye hekima haangalii kilichobadilika pekee, bali...
  13. Kwa uchache tu, Safari ya harakati za Tundu Lissu kupigania haki za watu.

    Tambua kwamba kazi nyingi za kuwatetea waathirika mbalimbali, Lissu amezifanya bure bila kilipwa na hao watu. Lissu anasema; Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania. Ushahidi wa leo utasema ni kwanini nashitakiwa. Leo nashitakiwa kwa...
  14. Uzinduzi Rasmi JNHPP: Safari ya Karne ya Umeme wa uhakika Tanzania

    Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utazinduliwa rasmi Jumamosi hii. Mradi huu wenye historia ya zaidi ya karne moja, ulioanza kufanyiwa tafiti tangu enzi za ukoloni, ukaasisiwa kama wazo la kimkakati wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, na hatimaye kupewa msukumo mkubwa wa...
  15. O

    TANZIA Safari Yageuka Msiba: Watalii Sita na Rubani Wafariki Samburu

    Safari iliyotarajiwa kuwa ya kufurahia mandhari ya kaskazini mwa Kenya imegeuka kuwa janga baada ya watu saba, watalii sita na rubani, kufariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu County. Ajali hiyo ilitokea Jumatano, Agosti 19, 2026, majira ya saa 9:13 asubuhi...
  16. Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

    Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika...
  17. Hivi ndivyo ndege inavyoanza safari Leo na kufika Jana.

    Je, umewahi kusikia kuhusu mtu anayepanda ndege leo, lakini akatua mahali anapoenda tarehe ya jana yake? Inaonekana kama muujiza au filamu ya kubuni, lakini huu ni ukweli halisi unaotokea kila siku katika usafiri wa anga ulimwenguni. Siri kubwa haitokani na kasi ya ajabu ya ndege, bali...
  18. Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

    Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo. Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika...
  19. Chrysalis: Safari ya Miaka 400 Kwenda Angani

    HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na...
  20. M

    Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…