safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Safari yangu ya dhahabu Botswana - Sehemu ya pili

    "Itakuwa furaha Sana kwangu Kama mods mtauacha huu uzi hapa hapa na sio kuunganisha na ule wa sehemu ya kwanza... Natanguliza shukrani kwenu na kazi iendelee kwa pamoja tukiwa Kama Wana jamuhuri wa jamuhuri tukufu ya muungano wa Tanzania, Mungu ibariki Tanzania." Kwanza kabisa napenda...
  2. Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
  3. Badala ya kuhangaika kunishukuru, kafanye nilivyokufanyia kwa mwingine mbele ya safari na siku zote

    Tabia mbaya ya wengi wa madereva Bongo, hasa Dar es Salaam ni kutokuruhusu madereva wengine kuingia barabara kuu ingawaje sheria inawapa wao maamuzi hayo. Lakini, kuna wakati mwingine nao utaka kuingia njia kuu. Yawezekana hawa ndio wanaolazimisha. Na inawezekana wanabania wengine kulipiza...
  4. Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua? Gharama kwa siku ni kiasi gani? Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
  5. Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  6. Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  7. Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  8. Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  9. Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

    Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
  10. Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
  11. Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

    Newcastle United iliingia katika mfumo wa private company limited by shares mnamo Tar. 6 September 1895, timu hii Ilijiendesha kwa mfumo huu hadi karne 20 ikiwa inatawaliwa kwa umiliki na Mckeag, Westwood na Seymoor family hadi kufikia Mwezi wa 4 1997. Katika kipindi hicho alitokea tajiri...
  12. Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  13. Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  14. Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

    Habari wakuu, Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3. Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa. Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
  15. Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

    Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia ==== Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
  16. Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  17. Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

    Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
  18. Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  19. Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

    Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu. ______ Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
  20. Safari ya astral, safari ya kwenda kwenye nyota

    SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya mwili, kufanya safari ya astral. Wacha tuirudie. Mawazo ni wapi unapotaka ywe. Nje yako, ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…