safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Shida unazo pitia leo, sio hukumu ya maisha yako yote,ni sehemu tu ya safari yako!

    Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha. Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
  2. Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  3. 6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari|2026&2027

    6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari;This safari is ideal for couples, families, friends, photographers and first-time visitors who want to explore Tanzania's famous northern safari circuit without rushing from one destination to another. With an experienced safari guide...
  4. 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari | Tanzania 2026–2027

    5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari; Discover the extraordinary beauty of Tanzania on this 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari, an unforgettable wildlife adventure that brings together three of the country's most celebrated safari destinations. Designed for travellers who...
  5. L

    Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  6. Updates: Mazishi ya Mama na safari yangu

    Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi mno kwa jamii forum na watu wake mmeonesha kuwa ni jamii kweli kwa kuonesha kuguswa na matatizo ya watu wengine hata kama hamfahamiani japo wapo wengi wenye maneno ya karaha lakini wote ni jamii watu kama hawa hawakosagi katika kitu nimejifunza watu wema...
  7. Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  8. L

    Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  9. Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  10. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  11. M

    David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

    Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo. Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya...
  12. Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  13. Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  14. 3 days shared Small group budget safari in Tanzania

    3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro Crater and Lake Manyara. Enjoy affordable wildlife game drives, budget accommodation, meals and...
  15. DP world kwenye mikataba yao upo pia ya kujenga misikiti mikubwa kwenye safari ya islamization of Tanganyika

    Makonda aache kusema anatafuta pesa za kujenga msikiti mkubwa Arusha awe mkweli aseme ametumwa na Rais ajenge msikiti mkubwa Arusha na mfadhili ni dp world waliozawadiwa bandari mikoa lengwa phase ya kwanza kujenga misikiti mikubwa ni Iringa nadhan apa umekamilika morogoro umekamilika...
  16. 'Adriz the Goat ' nimerejea rasmi JF baada ya safari yangu meditation

    Moja kwa moja .. Mwezi wa saba mwaka huu nilichukua umamuzi wa kuondoka Jf kwa muda , malengo ya kuondoka ni mwendelezo wa utamaduni wangu wa mara kwa mara ikifika kipindi fulani nakuwa nje kabisa na mitandao ya kijamii kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi tena . Vitu ambavyo nakuwa...
  17. Hii ndo safari ngumu kuliko zote Duniani

    Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope. Amini usiamini, eneo hili si la kufikirika lipo. Linalojulikana kama Darién Gap, msitu huu wa kutisha...
  18. A

    KERO Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

    Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha. Washiriki tulitoa fedha...
  19. J

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…