safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  2. Mliowahi kushonewa seat covers na Safari au Azam Upholstery: Vipi Quality ya seat baada ya miaka 3-5 ipoje?

    Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations. Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje? Ukichukulia gharama...
  3. Doscover the wonders of Tanzania

    DISCOVER THE WONDERS OF TANZANIA The Serengeti National Park is a world-renowned safari destination known for its vast grasslands and diverse wildlife, including the annual Great Migration of millions of animals. Meanwhile, the Ngorongoro Crater is a UNESCO World Heritage site, featuring a...
  4. Mambo ya kizingatia kama unataka kwenda China kwa safari ya kibiashara

    BIASHARA CHINA INATENGEZA MATAJIRI WENGI, Tena vijana na wewe unaweza kuwa mmoja wao. . lakini pia unaweza kupoteza mtaji wako wote ikiwa kuna mambo hutoyafaham mapema. . Sasa kabla hujaenda china, hakikisha unayajua haya mapema ili safari yako iwe ya mafanikio makubwa. 1. Pata passport yako...
  5. Safari ya Dar es Salaam kwenda Kampala

    Heri ya mwaka mpya!!!! Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10. Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba. Nataka nisafiri kwa bus, je ni...
  6. Unafikiri ni kwa nini ni muhimu mtu kusafiri safari ya "mbali" alau mara moja kwa mwaka?

    Dr. Napoleon Hill, anayesadikika kuwa alitumia kipindi kisichopungua miaka ishirini kutafiti sababu inayowafanya watu kufanikiwa na wengine kufeli, alikuwa na kawaida ya kuwashauri "wanafunzi" wake kuwa kama wanaishi mijini, basi wawe wanaenda vijijini alau mara moja kwa mwaka, na kama wanaishi...
  7. "Kutoka kwa Mwito hadi Uteuzi: Safari ya Padre Katika Imani na Huduma"

    👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
  8. Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

    Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale? Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
  9. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  10. Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  11. P

    Ipi namna rahisi ya kufika Kigali kutokea Dar?

    Naomba kujua namna rahisi ya kufika Kigali from Dar.
  12. Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

    Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
  13. S

    Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  14. Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  15. Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  16. Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
  17. Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
  18. Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  19. Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  20. Mabati ya chinichini ndio yamejaa Dar, Bado tuna safari ndefu kufikia skyscraper city

    Imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…