safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. TAWA: JE, MTANZANIA AKIKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI, HULIPA FAINI NA KUENDELEA NA SAFARI?

    Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake? Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
  2. K

    US: Safari zote za ndege marekani zimesimamishwa baada ya kudukuliwa

    Taarifa zaidi zinafata
  3. Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

    Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
  4. Air Tanzania: Safari zitachelewa kwa siku 7

    Kampuni ya huduma za usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL) imetoa tahadhari kwa abiria kuhusu uwezekano wa kuchelewa kwa safari za ndege, mabadiliko ya ratiba, na kubadilishwa kwa ndege, kuanzia tarehe 7 Novemba hadi tarehe 14 Novemba 2026. Sababu iliyotoloewa na kampuni hiyo ni : Kuondolewa...
  5. TBC Safari Channel historia ya Iyunga Sekondari inadosari

    Mimi nikiwa mmoja wa wanafunzi tulioingia shule hiyo miaka ya sitini baada ya serikali kuichukua na kuifanya sekondari ya kimataifa, niliona dosari kwenye historia inayohusu shule hiyo. Dosari mojawapo ni kuwa shule hiyo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu! Hapana, baada ya...
  6. Safari ya Tundu Lissu kutoka Bulyanhulu hadi Leo… nini kimebadilika? 🇹🇿

    Na Mwandishi Wetu Nilimfahamu Tundu Lissu kwa mara ya kwanza wakati wa uzinduzi wa mgodi wa Barrick, alipokuwa pamoja na Rais wa taasisi yake, Dkt. Nshala, katika kipindi cha utawala wa hayati Dkt. Benjamin Mkapa. Wakati huo, gazeti la Rai lilikuwa na makala yenye kichwa cha habari...
  7. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  8. O

    Safari Dar es Salaam - Tanga

    Nipo Dar es Salaam naomba muongozo nina Ist ya 2nz nahitaji kwenda nayo Muheza hivi hapa mafuta ya bei gani, lita ngapi yanaweza nifikisha pasi mawazo
  9. B

    Kwa staili hii, CHADEMA bado ina safari ndefu;Wasaliti ni wengi sana kwenye chama, kina Deogratius Mahinyila Amkeni mkitetee chama chenu.

    Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti. Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe.. Huenda...
  10. M

    Safari Miraji

    Picha inajieleza
  11. I

    Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  12. M

    Wakomavu tunajua siyo kila akutakiyae safari njema anataka ufike salama

    WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo. WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuja kukupa pole sio kwa...
  13. ‘My Fever’ yafungua milango ya safari ya Malaika Gray katika muziki wa dunia

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI na mtunzi wa nyimbo Mtanzania, Malaika Gray, ameanza safari yake rasmi ya muziki kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, My Fever, akimshirikisha nyota wa Bongo Flava, Marioo. Wimbo huo uliotoka Oktoba 30, 2026, umeandaliwa jijini Dar es Salaam, ambako pia...
  14. TRC kwanini siti iliyokatiwa tiketi ya Morogoro–Dar AU Morogoro–Dodoma ionekane imejaa tangu mwanzo wa safari?

    Nimesoma taarifa ya gazeti la The Citizen kuhusu tiketi takribani 782,000 za treni za SGR zilizonunuliwa lakini hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026. Katika ufafanuzi wake Bungeni, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameeleza kuwa baadhi ya siti zinazoonekana kuwa wazi ndani ya...
  15. Shida unazo pitia leo, sio hukumu ya maisha yako yote,ni sehemu tu ya safari yako!

    Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha. Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
  16. Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  17. 6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari|2026&2027

    6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari;This safari is ideal for couples, families, friends, photographers and first-time visitors who want to explore Tanzania's famous northern safari circuit without rushing from one destination to another. With an experienced safari guide...
  18. 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari | Tanzania 2026–2027

    5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari; Discover the extraordinary beauty of Tanzania on this 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari, an unforgettable wildlife adventure that brings together three of the country's most celebrated safari destinations. Designed for travellers who...
  19. L

    Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…