ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums, JamiiForums Kenya Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  2. JamiiForums Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  3. R

    JamiiForums HANDSHAKE Kati ya Raila na Ruto anasukumwa na nguvu ya umma, handshake ya CCM na CDM inasukumwa na ulaghai wa dola au utashi wa kiongoz aliyepo juu

    Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania. Tanzania watumishi WA umma wanafundishwa kuheshimu chama tawala wakati Kenya watu wa umma wanafundishwa na katiba kujitenga na siasa...
  4. JamiiForums, JamiiForums Kenya Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  5. JamiiForums, JamiiForums Kenya Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  6. J

    JamiiForums Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

    CHADEMA wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa. Chebukati na baadhi ya makamisha muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC. Kikosi Kazi hicho...
  7. JamiiForums, JamiiForums Kenya Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  8. JamiiForums, JamiiForums Kenya Kwanini kila sehemu ruto anaambatana na Naibu Rais na Waziri Kiongozi?

    Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini? Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
  9. JamiiForums, JamiiForums Kenya Mwanajeshi Mstaafu amshtaki Rais Ruto kwa kutengua Uteuzi wake

    Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC). Rukaria amedai kuwa Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla...
  10. J

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Falsafa za Hayati Magufuli zatawala Kenya, ibada za Jumapili zatumika kuhutubia Taifa!

    Sukuma Gang mnaweza kujifariji walau jirani Kenya wanatembea na falsafa za Shujaa Magufuli; 1. Wabunge wanaunga Juhudi za Dr. Ruto. 2. Hotuba za Kanisani Jumapili. 3. Matajiri wanalipa kodi. 4. Wanyonge wanapata upendeleo nk.
  11. JamiiForums, JamiiForums Kenya Raila asisitiza kutomtambua Ruto kama Rais, awaambia wabunge wa Azimio 'Usaliti hautavumiliwa'

    Kiongozi wa Chama cha Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema umoja huo hautamtambua Rais Wiliam Ruto kama Rais wa Kenya. Odinga ametoa ujumbe kuwaonya wanachama wa umoja huo kuwa hawatavumiliwa kwa usaliti wa kumtambua Ruto kama Rais. === Azimio la Umoja One Kenya Coalition party leader Raila...
  12. M

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Ruto anaunga mkono busara za Magufuli

    Kutoka tovuti ya Nation: https://nation.africa/kenya/news/politics/kenya-has-only-one-president-and-it-is-me-william-ruto-tells-raila-odinga-4101572 Huku kwetu bahati mbaya busara hii ya kutenga muda wa siasa na muda wa kazi imeonekana haina maana. Kampeni zisizokwisha zinaungwa mkono sasa.
  13. M

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Ruto administration to borrow Ksh 3.5 trillions in first term

    Huyu Ruto si alisema hatakopa akimshutumu Uhuru. Imekuwaje tena? Siasa bana. President William Ruto’s administration is targeting borrowing Sh3.6 trillion in his first five-year term, upending his plan to go slow on debt. The Sh3.6 trillion is equivalent to 89 percent of the record Sh4.1...
  14. JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais Ruto: Kulikuwa na jaribio la kumteka, kumuua Wafula Chebukati

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022. Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
  15. JamiiForums Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  16. JamiiForums William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
  17. JamiiForums, JamiiForums Kenya Ruto et al., waanza kulamba Asali

    Kibera endeleeni kupambana na maisha
  18. JamiiForums, JamiiForums Kenya Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
  19. JamiiForums Kweli biashara ya ndege ngumu, Kenya Airways na ukubwa wote wamechemka. Ruto kuiuza kwa Wamarekani. ATCL vipi?

    Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo. Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
  20. JamiiForums, JamiiForums Kenya Kenya: Binti wa William Ruto akana kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi

    Ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa maneno mengi mitandaoni kuwa taasisi yake binafsi inatumia fedha za umma kuendesha shughuli zake mbalimbali. Tangu kuapishwa kwa baba yake, Septemba 2022 kuwa Rais wa Kenya, Charlene Ruto amekuwa akikutana na viongozi kote Nchini na kuhudhuria makongamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…