ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  2. JamiiForums Matajiri wa Katoro hawakualikwa harusi ya Mtoto wa Ruto?

    RIP Chivayo.. laiti ungekua hai leo hii Mwanza pasingetosha. Helicopters na private jets zingezagaaa hadi ziwani. Ila matajiri wetu wa Katoro na gari zao za porini wamenyuti kijijini kwao Katoro. Why?
  3. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Kizibo Kitamu Cha Upendo: Rais William Ruto Awasili Mwanza Kusherehekea Harusi ya Bintiye

    Hali ya shamrashamra na furaha kuu inatawala jijini Mwanza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Rais William Ruto wa Kenya aliwasili jana jioni ili kuungana na familia na marafiki katika kusherehekea harusi ya bintiye inayofanyika rasmi leo. Tukio hili la kifahari linawaleta pamoja viongozi...
  4. O

    JamiiForums SI KWELI Je, Kalonzo atafanya kazi na Ruto

    Wakuu ni ukweli kuwa Kalonzo alisema heri kufanya kazi na Rais Ruto kuliko kufanya kazi na Gachagua
  5. W

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Mtangazaji Wilbroda amchana Rais William Ruto: 'Mbona kila mara unatukumbusha wewe ni Rais?'

    Mtangazaji wa Milele FM, Wilbroda, amemkosoa Rais William Ruto kuhusu namna anavyowasilisha hotuba zake, akimtaka kuacha kuwakumbusha watu mara kwa mara kuwa yeye ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Katika kauli iliyomlenga Ruto, ambaye pia humtaja kama Baba Charlene, Wilbroda amehoji kwa nini Rais...
  6. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya “Rais William Ruto Hawezi Kubadilisha Sheria kwa Kauli!” Mahakama Yabatilisha Agizo la Kutenga Nyumba kwa Walimu na Polisi

    Mahakama Kuu nchini Kenya imetangaza kuwa agizo la Rais William Ruto la kutenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa walimu na maafisa wa polisi halina nguvu za kisheria, ikisema Rais hana mamlaka ya kubadilisha sheria zilizopitishwa na Bunge kupitia matamshi yake. Katika hukumu iliyotolewa...
  7. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya “Baraza la Mawaziri Lisilo Halali Kikatiba?” Ruto Akabiliwa na Shinikizo Baada ya Kukaidi Agizo la Mahakama

    Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto mpya ya kisheria baada ya muda aliopewa na Mahakama Kuu kurekebisha uwakilishi wa kijinsia katika Baraza lake la Mawaziri kumalizika bila mabadiliko yaliyohitajika kufanywa. Katika hukumu iliyotolewa Juni 30, 2026, Mahakama Kuu ilibaini kuwa Baraza la...
  8. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Bayern Munich vs Ajax Nairobi! Rais William Ruto Atangaza Ufunguzi Rasmi wa Uwanja wa Raila Odinga Januari 5!

    Rais William Ruto ametangaza kuwa uwanja mpya wa Raila Odinga International Stadium, uliojengwa katika eneo la Talanta Sports City jijini Nairobi, utafunguliwa rasmi Januari 5, 2027, huku mechi inayotarajiwa kuzikutanisha klabu za Bayern Munich ya Ujerumani na AFC Ajax ya Uholanzi ikiwa sehemu...
  9. W

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Kwani Ruto anataka kutangaza nini? Ikulu yatoa Rais Ruto kutoa tangazo jioni ya leo

    Ikulu imetangaza kuwa Rais William Ruto atatoa tangazo maalumu lililorekodiwa saa kumi na mbili jioni leo, Jumatano, Oktoba 28, 2026, kupitia mitandao yake rasmi ya kijamii. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu wa Habari wa Ikulu imetaja tangazo hilo kuwa muhimu, lakini haijaweka wazi...
  10. W

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais William Ruto Aahidi Kutoa KSh Milioni 30 kwa Kanisa la Mwingi, Kitui. Ni Pesa Zake Au Walipa-kodi?

    Rais William Ruto ameahidi kutoa shilingi milioni 30 kwa kanisa la AIC Kasina, lililoko Mwingi Central, Kaunti ya Kitui, wakati wa ibada ya Jumapili, Oktoba 25, 2026. Ahadi hiyo imeibua mjadala kuhusu michango mikubwa inayotolewa na viongozi kwa taasisi za kidini wakati Wakenya wengi...
  11. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais William Ruto Atangaza Mpango wa Kenya Kuanza Kuuza Mafuta ya Turkana Nje ya Nchi Desemba 2026

    Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya inalenga kuanza kusafirisha mafuta ghafi kutoka Kaunti ya Turkana kwenda katika masoko ya kimataifa ifikapo Desemba 2026, baada ya miaka 14 tangu mafuta hayo kugunduliwa. Akizungumza Jumanne, Oktoba 20, 2026, wakati wa sherehe za Mashujaa Day katika...
  12. O

    JamiiForums SI KWELI Rais Ruto Asema Sasa Wakenya Wanajua Kwa Nini Alimfinya Gloria Orwoba

    Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alizungumzia tukio kati ya aliyekuwa Seneta mteule Gloria Orwoba na mjomba wake, mtangazaji mkongwe Fred Obachi Machoka. Graphic hiyo, yenye tarehe Oktoba 11, 2026, inamnukuu Ruto...
  13. O

    JamiiForums SI KWELI Je, Rais Ruto Alisema Hatajihusisha Na Siasa Za Mapema?

    Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alisema hana haja ya kujihusisha na siasa na kampeni za mapema kwa sababu ana kazi ya kufanya kwa Wakenya. Picha hiyo, yenye tarehe Oktoba 15, 2026, inamnukuu Ruto akisema pia...
  14. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya "Siku Yangu ya Mwisho Huenda Ikawa Jumatatu!” Gavana Natembeya Amkaidi Rais Ruto, Aapa Kukabiliana na Serikali Kuu!

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake. Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
  15. W

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  16. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  17. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya "Gavana, Natumai Unaskiliza" - Rais William Ruto Nusura Amzomee Gavana Johnson Sakaja Hadharani

    Rais William Ruto amemlenga Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, hadharani wakati wa Mkutano wa Kilimo na Mabadiliko ya Mifumo ya Chakula uliofanyika Jamhuri Grounds, Nairobi, akimtaka asikilize maelezo yaliyokuwa yakitolewa na afisa kutoka sekta ya ukulima na mifugo. Katika video ya tukio hilo...
  18. JamiiForums, JamiiForums Uganda Government warns Ugandans against participating in political activities in Kenya

    The Ugandan government has issued a stern warning to citizens against crossing into Kenya to participate in political or electoral activities ahead of Kenya’s 2027 General Elections. The government cautioned Ugandans to respect Kenya’s laws and refrain from involvement in political activities...
  19. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais William Ruto Aongoza Hafla ya Kutoa Heshima na Kukabidhi Jumba la Kumbukumbu la Raila Odinga Kaunti ya Siaya

    Rais William Ruto ameongoza hafla rasmi ya kuweka wakfu na kukabidhi jumba la kumbukumbu la Raila Amolo Odinga (Raila Odinga Mausoleum) katika eneo la Kang’o ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, Rais Ruto aliungana na Mama Ida Odinga kufungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…