rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
  2. L

    DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000. Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
  3. K

    Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

    Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi. Fungueni macho
  4. GE2025 Viongozi wa Dini watakiwa kukemea rushwa uchaguzi mkuu 2025

    Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii kupata viongozi bora, waadilifu na wenye kuzingatia masuala ya haki, uongozi na maendeleo ya wananchi...
  5. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
  6. Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  7. Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
  8. Aliyekuwa Meneja RUWASA Kakonko na Mwenzie Wafikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Rushwa Na Uhujumu Uchumi.

    Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM). Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
  9. B

    Kada wa CCM Simiyu atoa tuhuma nzito za rushwa kwa Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa

    Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema Pia ametoa...
  10. K

    Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa katiba, Mungu mtu Magufuli, bunge butu na rushwa

    Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa 1. katiba, 2. Mungu mtu Magufuli, 3. Magu na umungu mtu akaleta bunge butu maana alijiona yeye pekee ni Mungu 4. Magu katuletea Mama kujifanya malkia 5. Magu katuletea utekaji 5. Mama Samia kaendeleza yote ya Magufuli + Rushwa 6. Mama katuletea...
  11. Askofu Niwemugizi atengeneza bango la kukemea rushwa

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
  12. K

    Rushwa kwenye ujenzi wa barabara ni kubwa sana 10% ni lazima

    Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha 1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani 2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini 3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine 4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
  13. DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  14. Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  15. Tuhuma za rushwa ndani ya mchakato wa CCM: Funzo kwa Taifa zima

    Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali wa Taifa letu hutegemea afya ya kisiasa ya kila upande. Hivyo basi, matukio yanayoripotiwa kutokea...
  16. Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  17. GE2025 Serikali imetaja njia mbadala ya kukomesha rushwa, na kuweka mkazo kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Serikali imetaja njia mbadala ya kumaliza ama kupunguza rushwa, ni kujenga mifumo ambayo itakuwa wazi katika utoaji wa huduma za kiserikali ikiwemo kutokutana moja kwa moja na wenye kutoa uamuzi huo, huku ikieleza ni muhimu rushwa kutamkwa kwa uwazi kuelekea uchaguzi mkuu ili kukomesha vitendo...
  18. W

    Katika kuadhimisha Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika; Tuambiane ukweli, kwanini huwa haturipoti tunapoona matukio ya Ruswa?

    Wakuu, Embu tuambiane ukweli hasa kwa sisi vijana, kweli ushawahi kuona mtu anatoa rushwa au anakuomba kitu kidogo ukaenda kuripoti kuwa umeombwa Rushwa? Ukiangalia wanaokula mabilioni hawakamatwi, sasa kwanini umchome huyu anayetaka buku kumi au elfu 50 wakati anakufanyia jambo lako fasta na...
  19. TAKUKURU yamrejesha Madarakani Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje baada ya Uchunguzi na kutokubaini hatia dhidi yake

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje, Kata ya Matongoro, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Elisha Mpanda, amerudishwa madarakani baada ya uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kongwa kutokubaini hatia dhidi yake. Mwenyekiti huyo alisimamishwa Februari...
  20. TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…