rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  2. Jeshi la Polisi: Askari aliyeonekana akichukua rushwa alishafukuzwa

    JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni, tayari ilishughulikiwa na askari huyo amefukuzwa kazi. Akitoa ufafanuzi huo leo Septemba 14, 2022, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina...
  3. Je, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliundwa ili kupunguza au kuondoa rushwa na ufisadi au iliundwa ili kuwahadaa mabeberu watusaidie zaidi?

    Habari! •Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji. • polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda. •Mahakamani nako rushwa iko waziwazi. •Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
  4. K

    Utamaduni wa Rushwa Polisi ni mkubwa sana

    Nashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
  5. DOKEZO Hawa Trafiki wanakera sana, njaa zitawaua

    Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu. Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa ni njaa zao, wivu na roho mbaya dhidi ya wenye magari, kwani kuna mtu aliwatuma wafanye kazi za...
  6. Kuna hawa wakuja pm kuomba kupigiwa kura hii si rushwa tu kma rushwa nyingine

    Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura . Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu...
  7. T

    Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  8. Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  9. Z

    Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  10. Ripoti ya CAG Zanzibar yaondoka na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA)

    Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani. Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi...
  11. Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
  12. Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  13. Mbeya: Makarani wa Sensa wachunguzwa kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
  14. T

    SoC02 Kukosekana kwa Ajira kwa Vijana Wengi Kumeibua Ajira Mpya kwa Waajiriwa

    Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana ambao walichukua Uamuzi wa Kujiongeza na kuthubutu kujiajiri kutokana na kile walichokipata wakati...
  15. Mjumbe wa Olimpiki akamatwa kwa kupokea Rushwa Tsh. Mil 886

    Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1. Waendesha Mashtaka wamedai kiongozi huyo na wenzake walipokea pesa hizo kutoka kwa muuzaji wa nguo za...
  16. S

    DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  17. Siamini kama kuongeza mishahara na motisha kunapunguza rushwa

    Habari za huko? Kuna hii kauli naisikia toka zamani Sana kwamba kuwaongezea watumishi mishahara au motisha Basi kunapunguza tamaa za wao kufanya ufisadi. Hebu tuchukulie kwa mfano kada Kama za udkatari au uaskari let's say mfanyakazi analipwa Million moja kwa mwezi na kila siku ana force apate...
  18. Serikali ndiyo inayowafundisha watumishi wake kula rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma

    Habari, Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu. Mfano # 1 Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani anazidiwa mshahara na watumishi karibu wote katika kata yake, atakuwa na uzalendo kweli? Huyo diwani...
  19. SENSA 2022: Katika mafunzo kuna rushwa inaendelea, hasa wilaya ya Chemba

    Habari wadau, Huku mafunzo ya sensa yakiendelea katika wilaya ya Chemba kuna mchezo mchafu unafanyika hasa kwa wakufunzi walio katika kada ya elimu(Maafisa elimu kata) kwani walichokifanya ni kuwapa walimu wakuu USIMAMIZI WA MAUDHUI ikiwa hawakuomba kazi hiyo mtandaoni. Mfano mzuri ni kituo cha...
  20. CCM kama nyie ni wapenda haki, naomba mfute matokeo ya chaguzi zenu zote za mwaka huu kwasababu zimejaa rushwa 100%

    99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini. Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…