rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    “Alikataa Rushwa ya KSh50,000, Akapigwa Karibu Kufa!” Msimamizi wa KCSE Atekwa na Kushambuliwa Kwale

    Msimamizi wa mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Nne (KCSE) katika Kaunti ya Kwale anauguza majeraha makubwa baada ya kudaiwa kutekwa nyara na kushambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanafunzi wa Kidato cha Nne na washirika wao, kufuatia kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyolenga kuruhusu udanganyifu...
  2. Hungary: Mamlaka za Rushwa Zabaini Dola Milioni 18 Zilizofichwa Misituni na Maghalani

    Mamlaka za kupambana na rushwa nchini Hungary zinasema zimebaini takribani dola milioni 18 zilizofichwa katika maeneo mbalimbali, zikiwemo fedha zilizozikwa kwenye misitu na nyingine kuhifadhiwa ndani ya majengo na maghala wakati wa uchunguzi. Fedha hizo zinadaiwa kuhusishwa na Miklos Sesztak...
  3. DOKEZO TANESCO EMMERGENCY SERVICE ni bosheni kuna mianya ya rushwa na upigaji unaosabsbishwa na mifumo mibovu

    Kama unanyumba iliyounganishiwa umeme wa TANESCO usiombe shoti itokee kwenye mashine ya Luku au juu ys nguzo inayoingiza umeme ndani sehemu ambayo huwezi kuajiri fundi wa umeme tofauti na wao TANESCO, Ukipiga 180 wanapokea simu vizuri kabisa kisha watakutumia sms kama uthibitisho kuwa...
  4. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  5. A

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Kazole wanaelezwa kutaka TZS 1,000 ili kusaini clearance form za Wanafunzi

    Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga) Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga. Kwa mujibu wa malalamiko haya...
  6. M

    Bila connections, unapoombwa rushwa na mtumishi wa umma, kukataa ni kuanzisha vita, kisasi na ukiripoti wanaungana kukushambulia badala ya kukulinda

    Rushwa za mahakamani, Rushwa za vyuoni kwa mabinti zetu, Rushwa za vibali, Rushwa za ardhi, Rushwa za kodi, n.k. Bila connections ukiombwa rushwa na usipoitoa ni tangazo rasmi la vita, kama ulikuwa na biashara utapigwa faini hadi ushangae, kama ulikuwa na vibali unasubiri utapigwa kalenda hadi...
  7. UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  8. KERO Ofisi nyingi za umma, hususan masijala zinakabiliwa na tatizo la rushwa

    Ofisi nyingi za umma, hususan masijala za wazi na za siri, zinakabiliwa na tatizo la rushwa. Kwa mfano, katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, unapohitaji huduma inayohusisha faili lako, unaelekezwa kwenda masijala. Ukifika huko, unaambiwa kuwa faili lako halipo. Hata hivyo...
  9. K

    Kulikoni UVCCM na Siasa za ndani za CCM? mbona wameminya sauti tuhuma za rushwa Pwani na kuhamia kwa CHADEMA?

    Wana-JF, Hali ya kisiasa nchini hivi sasa inazidi kuchukua sura ya kipekee, hasa tunapotazama fukuto la ndani la chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM), na jumuiya yake ya vijana (UVCCM). Huku kukiwa na mabadiliko ya kiuongozi, kama vile kuteuliwa kwa Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Ndugu Faris...
  10. T

    Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

    Kwa mambo ninayoyafahamu kuhusu chaguzi na mifumo ya siasa za ccm sijui kama kuna namna inawezekana uwe kada wa hicho chama Kisha upinge rushwa kwa dhati kabisa na ubaki salama na usalama wako. Ukweli ni kwamba labda machawa pekee ndo wanaweza wasijue lakini wana ccm wote huwa wanaelewa kwamba...
  11. A

    Tanzania yazidi kuchafuka duniani: Hati ya Mashtaka Marekani yatuhumu nyaraka za manunuzi ya silaha haramu zilitoka Tanzania kwa rushwa

    Hati lenyewe la mashtaka liko chini. Ma document ya serikali ya Tanzania yamo kwenye hati ya mashtaka. WAENDESHA MASHTAKA Marekani wanasema makaratasi ya kununulia silaha yalipatikana Tanzania kwa rushwa. Washitakiwa ni wanne, Mtanzania mmoja. Sio makaratasi magumashi yenye saini za kufoji...
  12. Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  13. O

    Mwalimu wa Kamusinga Akamatwa kwa Kudai Rushwa ya KSh300,000 Ili Kuwatafutia Walimu Ajira TSC

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata mwalimu wa shule ya Friends School Kamusinga Boys, Kaunti ya Bungoma, kwa tuhuma za kudai rushwa ya KSh300,000 kutoka kwa walimu watatu wasio na ajira, akiahidi kuwasaidia kupata kazi kupitia Tume ya Kuajiri Walimu (TSC). Mwalimu huyo...
  14. Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  15. A

    Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  16. K

    Wala rushwa wa sasa wasingeweza kuleta bomba ya mafuta ya Uganda. Tushukuru alikuwepo Magu kwa hili

    uongozi wa sasa wajinga jinga Rutto alileta wazo la kujenga mradi wa usadishaji wa mafuta Tanga badala ya kupokelewa kwa uzuri alipigwa madongo na kuaibishwa na Raisi fake wetu hapa ambaye hajashinda kura kapora Uraisi. Mwenzake Magu alipigana sana kupata mradi wa bomba la mafuta lakini huyu...
  17. A

    KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  18. Tatizo siyo Katiba,wala siyo Sheria,ila ni majaji wanaomba rushwa

    Tatizo ni machawa Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa...
  19. Mahakama Ya Jiji Posta Ya Zamani , Dsm Ni Chaka La Rushwa

    Tangu kuanzishwa operesheni za usafi ambazo zimegeuzwa kuwa za kukimbizana na Machinga hiyo mahakama ndio imegeuzwa machinjioni. Watu wanakamatwa na kupelekwa hapo mara utasikia wanataka laki 5, mara laki 4 yaani haijulikani faini halali ni ipi! Ni ujanja ujanja wa kitapeli tu ndio unaoendelea...
  20. Adv. Alute Mughway Lissu (kaka wa Lissu) akanusha tuhuma za rushwa ya Abdul na Samia kulazwa Sea Cliff Hotel chini ya ushenga wa Godbless Lema

    https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j- Anasema: 1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini... 2. Amemtaka mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…