risiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ni sawa Hospitali za Umma kutoa huduma bila risiti? Imenitokea Hospitali ya Makuburi - Dar

    Nilimpeleka mtoto wangu mwenye umri wa miaka miwili katika Hospitali ya Makuburi jijini Dar es Salaam, Novemba 6, 2026 kwa ajili ya matibabu. Niliandikiwa vipimo na kuelekezwa kulipia dirishani, ambapo nililipa kiasi cha fedha ambacho kilikuwa kikubwa kuliko gharama za vipimo katika hospitali...
  2. R

    Hakuna risiti za mshahara wa Septemba kwenye ESS

    Mfumo wa ESS hautoi risiti za mishahara ya Septemba 2026, Mbona hakuna maelezo??
  3. A

    KERO Utaratibu wa kukusanya fedha za kuzolea takataka huku Mbagala Kilungule haueleweki na unakera

    Katika eneo la Mbagala Kilungule, kuna changamoto kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha za taka. Wananchi wanalalamikia kufikiwa na wakusanyaji wa ada hizo mara tatu au zaidi, huku wakipewa risiti zenye taarifa tofauti. Wananchi wanapouliza kuhusu hali hiyo hawapati majibu ya kueleweka, na...
  4. CRDB haistahili lawama kwa risiti na pay-in-slip zinazomhusu Heche zilizoonyeshwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
  5. DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  6. A

    KERO Responded Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara Mikindani tunakatwa ushuru, tukiomba risiti wanatutishia

    Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Tunakatwa ushuru wa kila siku bila kupewa risiti za malipo kama inavyotakiwa. Tunapodai kupewa risiti...
  7. F

    Kama michango ya mlinzi, umeme na maji kwenye shule za serikali ni halali, kwanini hawataki tulipe kwa control namba na tupewe risiti za EFD?

    Habari wadau. Nipo jirani na shule ya msingi MIBURANI ambayo ipo wilaya ya temeke, naona watoto wanachangishwa sana michango ya mlinzi, umeme, maji na siku ingine ya walimu ya kujitolea. Kila mchango unalipiwa sio chini ya 2000, imagine mkondo mmoja tu wa darasa moja lina wanafunzi 80, na hapo...
  8. A

    DOKEZO Kuna baadhi ya Askari wa Barabarani huchukua taarifa za dereva na kuweka faini zaidi ya mara moja kwa kosa lile lile bila dereva kujua

    Nimekutana na changamoto na askari wa usalama barabarani (Traffic Police) jijini Dar es Salaam mara kadhaa. Kwanza, mara nyingi wanakuwa hawana mashine za kutoa risiti. Kila siku utasikia wanaeleza kuwa mashine zina changamoto, kisha huchukua taarifa za leseni na namba za gari kwa kupiga picha...
  9. Kwenye biashara, TRA kodi yenu kwenye kutoa risiti mbona mnachukua mpaka na mtaji?

    Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti. Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata. Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=. Mteja kataka risit na...
  10. F

    Matumizi na ulazima wa kuwa na EFD, je, hata vyangudoa wanayo na wanatoa risiti?

    Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea. Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
  11. Wauza chips wahukumiwa Jela Miaka mitatu au Faini 6M kwa kutotoa risiti ya EFD

    Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita au kifungo cha miaka mitatu jela kwa kushindwa kutoa risiti ya kielektroniki, baada ya kutoa huduma...
  12. D

    Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  13. D

    Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  14. R

    Mwenye risiti za SMZ kulipia bili yote ya umeme waliyokuwa wakidaiwa, ailete hapa tafadhali🙏

    Salamaleko! Tumeambiwa kuwa mmelipa deni lote mlokua mkidaiwa na muungano. Tunaomba tuonyesheni risiti za malipo hayo tafadhali 🙏 Nawasilisha!
  15. Mtoto wangu ameniambia wapeleke Tsh. 3000 ya mtihani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti

    Mtoto wangu ameniambia wapeleke 3000 ya mtiani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti vp TRA wanapataje mapato yao?
  16. Wizi mpya kivuko cha Kigongo Busisi risiti haziskaniwi, inascaniwa moja kwa wateja wote.

    Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
  17. TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

    Wakuu kwema? Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua. Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana. Sasa muuzaji...
  18. RC Dodoma aitaka TRC kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni. Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
  19. Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  20. Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

    Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…