rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dar: RC Chalamila awataka Wananchi kwenda kupima Homa ya ini bure viwanja vya Sinza Darajani

    MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma...
  2. Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  3. RC Chalamila: Kama huwezi kuishi kota za Magomeni, hamia Vingunguti

    Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota. Nashauri...
  4. RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  5. Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  6. S

    Machinga wa Simu2000, hata kususia na kuondoka kwenye huo mkutano wa Chalamila mlishindwa?

    RC Chalamila amewafokea na kuwatweza machinga wa Simu2000 mpk wakatia huruma. Wamama na akina baba watu wazima wakawa wanaambiwa "washenzi" na "wapumbavu" lkn cha ajabu machinga hao wakashindwa hata kususia huo mkutano na kumuacha Chalamila na kamati yake. Hivi watanzania ni lini mtaamka? Nani...
  7. RC Chalamila aagiza Majina ya Wafanyabiashara 891 yaondolewe kwenye mtandao wa Shirika la Masoko Kariakoo kupisha Uchunguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameagiza kuondolewa majina 891 ya wafanyabiashara yaliyowekwa kwenye mtandao wa Shirika la Masoko Kariakoo mpaka pale vyombo vya dola vitakapojiridhisha na majina hayo. Hatua hiyo inakuja baada ya wafanyabiashara zaidi ya 800 waliokuwepo...
  8. RC Chalamila atoa maelekezo mahususi ukanda wa kibiashara Kariakoo

    -Ataka kutekelezwa haraka kwa maelekezo yake ili kufikia adhima ya serikali kufanya biashara saa 24 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 10,2024 amefanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara pamoja na viongongozi wa Serikali, Taasisi, Mashirika na wataalam kutika ofisi...
  9. RC Chalamila umetuumbua wengi, tuliamini Dar es Salaam hutaiweza

    Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar. Ila naona hekima yake Iko juu sana Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno. Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up...
  10. PreGE2025 RC Chalamila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564

    Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90. Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
  11. RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  12. Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

    Wakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake. Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa. Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali...
  13. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  14. L

    Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
  15. Nape: Amuaomba RC Chalamila apunguze doria za Usiku

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo. Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City. Kwasiku za karibuni wilaya...
  16. RC Chalamila: Rais amesema tuache uongozi wa kibabe

    RC Chalamila amesema wameaswa na rais Samia kuwa na uongozi mzuri usiokuwa wa kibabe. Amesema yeye ameshaacha ubabe. Chalamila ameyasema hayo kwenye kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari yanayofanyika Mlimani City ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia. Chalamila amesema hadi sasa barabara...
  17. RC Chalamila: Ukiona una miaka 40 na huna hela, usimlaumu Rais wa Jamhuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi vya uongozi, akidai kwanini alaumiwe mtu mwenye miaka mitatu kwenye uongozi. Chalamila amesema...
  18. RC Chalamila hapa anamaanisha nini?

    Aliyemuelewa atueleweshe na sisi wengine Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka watendaji wa mkoa huo kufanya kazi kwa uweledi ili watakapoondoka waache heshima kutokana na utendaji wao. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia amewataka kuhakikisha miradi yote ya maendeleo...
  19. PreGE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
  20. Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…