rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

    Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kundi la sekta isiyo rasmi katika uzalishaji, hili ni kundi muhimu sana

    Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji. Hapa mmachinga anafanya biashara kwa heshima, bila adha ya jua au mvua. Hawezi kukwepa kukipia kodi, liseni ya biashara na pango...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Rasmi Yanga yamsajili Djuma Shabani

    Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili. Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake angeelekea kunako Klabu ya Rs Berkane kuungana na kocha wake Florent Ibenge aliyejiunga na timu hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

    MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni. Programu hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Bei mpya ya Bia inaanza lini rasmi?

    Wakuu tupeane mrejesho! Bunge letu tukufu lilipunguza bei ya kinywaji pendwa kwa Watanzania, sasa mpaka sasa hivi mwaka wa fedha mpya hatujapata bei mpya -- kulikoni?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona na kukisikia leo nathibitisha rasmi kuwa Tanzania hatuna 'Critical Journalists' bali tuna 'PR and Round Table Journalists' tu

    Ukiona anayehojiwa au Kuulizwa Maswali anayajibu kwa Furaha, hatetemeki, anatingisha Miguu yake kama yupo Sebuleni Kwake na Familia yake, hatokwi na Jasho, hapandwi na Hasira mpaka anadiriki kuomba maswali ya Nyongeza huku akiishia Kuwakaribisha Chakula ili mvimbiwe vizuri kwa Uroho wenu jua...
  9. JamiiForums Tanzania Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

    Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake . Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

    Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Naam, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa kwenye ukurasa wa Siasa. Nimetoa mchango wangu kwa umoja huu kupitia ukurasa huu. Nimerekebisha baadhi ya mambo kutokana na hoja zangu na niseme tu nimekuwa nikifarijika sana pale ninaposhauri au kutoa hoja ikaleta positive impact kwenye jamii...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ni rasmi kuwa Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ana Akili Kubwa kuliko Wanayanga wote na mpaka Injinia Hersi wa GSM

    "Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa naongea nawe hivi Yanga SC haijasajili Mchezaji yoyote yule kutoka nchi yoyote na...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

    Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
  15. JamiiForums Tanzania Sina maudhui rasmi ya kuongelea...

    Mambo ni mengi hizi siku mbili tatu kama masikhara Mama kala kichwa cha Chalamila, akiwa huko huko kapita na yule wa Morogoro. Jana asubuhi tu, tukaone Selfie ya Masheikh wa Uamsho na familia zao hata kabla ya taarifa rasmi ya kuachiwa kwao. Siku hiyo hiyo Bwana Seth nae kaachiwa kwa kutakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  17. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

    Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania. Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo. Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuitisha Baraza Kuu mwezi Julai, suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum kumalizwa rasmi

    Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki. Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
  20. JamiiForums Tanzania Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…