Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena...