#JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu.
Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...