rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

    Bayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa . Game imeisha .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  3. JamiiForums Tanzania Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio. Wiki chache zilizopita...
  4. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kujiuzuru rasmi Kuizungumzia Simba SC yangu kwa Nguvu zangu zote hapa JamiiForums, kwani imeshanichosha sasa

    Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023. Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je...
  7. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

    Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
  9. JamiiForums Tanzania Nimeianza rasmi safari ya kuleta hazina za nyuma JamiiForums ili watu wapate madini ya zamani

    Hazina ya maandiko yaliyoko JamiiForums ni kubwa sana. Kama ni utajiri wa mawazo, fikra, ushauri basi nitaupata kwenye maandiko hayo. Nitakuwa natoa updates katika nitakayokuwa nikijifunza Ili kwa watakaopenda wakajifunze pia.
  10. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Yanga waianza safari ya Mwakarobo waliyokuwa wanaibeza

    Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto. Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali sitaki Kusikia Kisingizio hiki timu fulani ikifungwa nyingi Ijumaa na kutolewa rasmi CAFL

    "Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza. Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi KIFUNGU CHA 21 Kumwachisha au kumfukuza Uongozi kiongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

    Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus. 🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na uzinduzi wake wa kuwa Mwakarobo jr utafanyika rasmi April 5 huko Pretoria. Hii ni heshima kwa nchi yetu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

    Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho. 🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu. Treni Dar...
  20. JamiiForums Tanzania CCM toeni tamko kwamba dirisha kwa mwanachama yeyote kutia nia kuwania urais kupitia CCM limefunguliwa rasmi

    Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025. Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana! Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…