raisi

  1. Mwalimu atoa malalamiko ya mwajiri ofisi ya makamu wa raisi Dodoma

    Leo tarehe 12.11.2026 mwalimu mmoja kutoka wilaya ya Kilindi Tanga apeleka kitini Cha malalamiko ofisi ya makamu wa raisi Dodoma. Ameahidiwa kupata majibu ndani ya siku 14 za kazi.Naomba msifute thread yangu ni muhimu kukomesha waajiri wababe tafadhali.
  2. Kitini cha malalamiko ya mwalimu wa Kilindi Tanga chatua ofisi ya makamu wa raisi Dodoma Leo tarehe 12.11.2026.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni habari njema sana katika harakati za utumishi salama makazini katika sekta ya Elimu wilaya ya Kilindi Tanga.Na ni historia ya kipekee wilaya ya Kilindi Tanga katika kuhakikisha waajiri wanatimiza wajibu wao Kwa waliowaajiri bila vitisho. Moja ya maelezo...
  3. Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka huweka watoto wao

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka wataweka watoto wao au ndugu zao. Hii mtajifunza Rwanda,Uganda na sasa inakuja kwetu.
  4. Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  5. Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  6. K

    Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi? Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
  7. Swali: kwanini raisi akishachaguliwa kuwa kiongozi wa nchi anaweza kuchaguliwa tena kuwa m/kiti wa chama chake?

    According to my view Hii inasababisha; 1. Vyama vingine kutopata uhuru wa kisiasa. 2. Raisi anakuwa na maamuzi yanayoendana na chama. 3. Serikali inajaa viongozi wa kutokea chama kimoja tu. Kwanini isiwe hivi; Raisi akishachaguliwa awe ni mbali na chama yaani chama kisiwe na contact na yeye...
  8. S

    Mwaka 1979 Jerry Rawlings alifanywa kiongozi wa Ghana akisubiri kunyongwa kwa kuhukumiwa kifo kesi ya uhaini kisha wanajeshi vyeo vya chini wakamuokoa

    Jerry Rawlings; Kutoka kuhukumiwa kifo kwa uhaini hadi kuwa raisi wa Ghana Mapema mwaka 1979 Jerry Rawlings, akiwa pilot katika jeshi la Ghana mwenye cheo cha luteni, aliongoza uasi dhidi ya serikali ya raisi wa Ghana Fred Akuffo ambae aliona serikali yake imejaa ufisadi, rushwa, wizi na...
  9. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  10. Viwanja viwanja chanika karibu na philipo mpango aliyewahi kuwa Makamu wa raisi tanzania

    Kwa wale wanaotaka kumiliki kiwanja karibuni
  11. D

    Ahsante Mungu, Raisi wa bunge la Ulaya kaumbuka; karma ya kumpotezea mstahiki wa kweli, Bob Wine, yamlamba🙏🙏

    Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo. anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni. hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha...
  12. S

    Niwaambie ukweli wa moyoni; ningekuwa raisi wa Tanzania katika mazingira yaliyopo, na mtazamo uliopo wa wananchi juu yangu na mwanangu, NINGEJIUZULU!

    Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga. Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua Stress ndani na nje ya...
  13. Kabira kuwa raisi na leo kuwa kundi la M23.

    Haya makundi ujengwa na utawala uliopo madarakani.Tumeona sudani kwa bashiru kundi lake limekuwa wapinzani wa serikali. Watawala wanapotengeneza vikosi vyenye nguvu kwa kuamini wanajilinda ndio leo mifano tunayo. Hiki chama cha CCM kwa mtindo wake kisha jenga mfano M23 na siku kishaondolewa...
  14. Inawezekana hata raisi,serikali na CCM ni mateka wa kikundi ambacho kipo.

    RIP pole pole wala sio kuzunguka kama alivyosema nyuma ya pazia kuhusu serikali Sisi tunaweza kuona nchi ina serikali na raisi ila mfahamu ina watu wachache ambao wanaweza kujionesha wapo na sisi na ni watu wa watu kumbe ndio wakoloni aka masultani,wafalme,mungu watu na n.k.ambao uwezi kuona...
  15. Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
  16. K

    Msije kushangaa dogo mpigaji Mgogo kuwa Raisi kabla ya 2030

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa ni Mhe. Deogratius John Ndejembi Kwa Mama alivyofanya mauaji yeyote n bora kuliko yeye lakini huyu dogo ni tayari billionea kabla ya hata umakamu sasa anaweza kuwa Raisi na usalama wa taifa na jeshi lipo tu linaendeleza uchawa
  17. Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

    Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura. Ni wakati wa mataifa kuona...
  18. Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  19. Kuna kitu kimemshinda ila kuiga kubaya na raisi mwenye ufisadi mkubwa hata ripoti na taarifa zipo wazi.

    Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya. Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…