Wakuu habari Zenu
Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah π₯
Manoti hayooo
Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana π kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa
Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...