Waziri wa zamani na kada wa CCM Profesa Anna Tibaijuka ameitabiria ushindi CHADEMA, akisema katika misukosuko inayopitia ikiwa pamoja na tishio la kufutwa, chama hicho kitashinda.
Katika andiko lake lenye kichwa cha habari: "MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO" aliloliweka...